Kalikenye_91
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 217
- 589
Me nimebakiza received MUST na UDOM nafasi moja moja, ila naona kama sina kitu.Pole sana, Mungu atusaidie hakika
Duuh!!! I Feel you bro! Hii kitu uliyopitia naelewa sana, ukizingatia written umetoboa kwa mbinde mpk kufika oral lkn yote kwa yote tusikate tamaa ndugu yangu, lets keep it up Mema yako mbele hii hali huwa tunapitia wengi ila sometimes tunatulia tu.....Tuendelee kutumaini kuwa yajayo ni mazuri sana na Mungu atubariki sote ...AmeeenUpo sahihi, haswa ukiwa hujui ulipokosea ni wapi.
Nilikandwa TPA, ikafuata TASAC.. na zote nilifika oral. Yaan saivi nikiona hata logo za hizo taasisi nawamaind kichizi
Mungu atusaidie
AmeeenDuuh!!! I Feel you bro! Hii kitu uliyopitia naelewa sana, ukizingatia written umetoboa kwa mbinde mpk kufika oral lkn yote kwa yote tusikate tamaa ndugu yangu, lets keep it up Mema yako mbele hii hali huwa tunapitia wengi ila sometimes tunatulia tu.....Tuendelee kutumaini kuwa yajayo ni mazuri sana na Mungu atubariki sote ...Ameeen
Nyie kukandwa kubaya sana hasa kwa taasisi ambayo ulikuwa ukiikubali muda sana, mwenzenu Tangia nimekandwa na TRA najiona sipo sawa kabisa. Hii ni seriously guys.
Umeongea FACT MKUU.Hii huwa inatokea sana mkuu na hasa ukiwa na matarajio makubwa kulingana na ulivyojiandaa pamoja na ulivyofanya hiyo mitihani.
Binafsi usail uliopita TMO II nilikosa maksi moja kuingia oral, awamu hii nikaongeza kupiga msuli na kujiamin zaidi lkn baada ya matokeo nimedondokea pua na wkt mtihani niliona wa kawaida.
UKiwa na moyo mwepesi baada ya matokeo kutoka na yasiwe mazuri umaweza pata maradhi kama ulikuwa na matarajio makubwa.
Ushauri wangu ili kuepukana na msongo wa mawazo/ sonona.
1. Kupunguza matarajio makubwa kabla ya matokeo.
2. Kufanya mazoezi, hii inasaidia kurudisha mwili kuwa normal.
3. Kujichanganya na watu tofauti ili kuepukana na mawazo ya kufeli.
4. Kupitia threads tofauti humu JF ambazo ni za kuelimisha, kuburudisha, siasa pomoja na mapenzi na mahusiano(MMU).
5. Kuendelea na ratiba zako kama kawaida huku ukiendelea na kutafuta mrija sehemu tofauti.
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu,Hii huwa inatokea sana mkuu na hasa ukiwa na matarajio makubwa kulingana na ulivyojiandaa pamoja na ulivyofanya hiyo mitihani.
Binafsi usail uliopita TMO II nilikosa maksi moja kuingia oral, awamu hii nikaongeza kupiga msuli na kujiamin zaidi lkn baada ya matokeo nimedondokea pua na wkt mtihani niliona wa kawaida.
UKiwa na moyo mwepesi baada ya matokeo kutoka na yasiwe mazuri umaweza pata maradhi kama ulikuwa na matarajio makubwa.
Ushauri wangu ili kuepukana na msongo wa mawazo/ sonona.
1. Kupunguza matarajio makubwa kabla ya matokeo.
2. Kufanya mazoezi, hii inasaidia kurudisha mwili kuwa normal.
3. Kujichanganya na watu tofauti ili kuepukana na mawazo ya kufeli.
4. Kupitia threads tofauti humu JF ambazo ni za kuelimisha, kuburudisha, siasa pomoja na mapenzi na mahusiano(MMU).
5. Kuendelea na ratiba zako kama kawaida huku ukiendelea na kutafuta mrija sehemu tofauti.
Umeongea sahihi hii Cha kujipa matarajio makubwa ndo kinachonitesa mimi, baada ya zile za mwezi wa 4 kutokuitwa katika usahili kutokana na vyeti kutokuwa certified, niliumia pia nikajisemea ninamkosi gani kwani kabla ya hapo nilishakuwa nikiitwa katika usahili bila kupiga muhuri, furaha yangu ilikuja kurudishwa tena baada ya hizi za awamu ya pili kutangazwa hivyo niliona kama nimepewa second chance naimekuja special kwaajili yangu kwa namna nilivyoumia kwenye Ile ya kwanza, hivyo nilipata nguvu kubwa ya kusema hii ni kwaajili yangu.Hii huwa inatokea sana mkuu na hasa ukiwa na matarajio makubwa kulingana na ulivyojiandaa pamoja na ulivyofanya hiyo mitihani.
Binafsi usail uliopita TMO II nilikosa maksi moja kuingia oral, awamu hii nikaongeza kupiga msuli na kujiamin zaidi lkn baada ya matokeo nimedondokea pua na wkt mtihani niliona wa kawaida.
UKiwa na moyo mwepesi baada ya matokeo kutoka na yasiwe mazuri umaweza pata maradhi kama ulikuwa na matarajio makubwa.
Ushauri wangu ili kuepukana na msongo wa mawazo/ sonona.
1. Kupunguza matarajio makubwa kabla ya matokeo.
2. Kufanya mazoezi, hii inasaidia kurudisha mwili kuwa normal.
3. Kujichanganya na watu tofauti ili kuepukana na mawazo ya kufeli.
4. Kupitia threads tofauti humu JF ambazo ni za kuelimisha, kuburudisha, siasa pomoja na mapenzi na mahusiano(MMU).
5. Kuendelea na ratiba zako kama kawaida huku ukiendelea na kutafuta mrija sehemu tofauti.
Polee sana, expectations always hurt. Utakua sawa giv it time.Umeongea sahihi hii Cha kujipa matarajio makubwa ndo kinachonitesa mimi, baada ya zile za mwezi wa 4 kutokuitwa katika usahili kutokana na vyeti kutokuwa certified, niliumia pia nikajisemea ninamkosi gani kwani kabla ya hapo nilishakuwa nikiitwa katika usahili bila kupiga muhuri, furaha yangu ilikuja kurudishwa tena baada ya hizi za awamu ya pili kutangazwa hivyo niliona kama nimepewa second chance naimekuja special kwaajili yangu kwa namna nilivyoumia kwenye Ile ya kwanza, hivyo nilipata nguvu kubwa ya kusema hii ni kwaajili yangu.
Asante sanaPolee sana, expectations always hurt. Utakua sawa giv it time.
Kwa ninavyofahamu mimi,
Kama uta attarch hivyo vyeti kwenye Account yako ya PSRS/ Ajira portal utapewa access ya kuweza kuapply ajira zote kulingana na hizo degree zako za taaluma tofauti.
Lakini, mfano ulianza na diploma ya degree fulani, mfano ya Journalism then ukafanikiwa kupata degree ya Journalism. Hapo cheti utakachoambatanisha kweny account ndio kitakupa access ya kuomba kazi.
Ukiambatanisha diploma ya Journalism, tambua kua nafasi za degree hazitakuhusu, na ukiweka cha degree tambua kuwa nafasi za diploma ndio bye bye. Hii wameweka ili kuzuia watu kuomba multiple posts.
Pia, hata kwa taasisis moja huwezi omba kazi kwa post zaidi ya moja hata kama zote sifa unazo. Mfano kwa TRA , Tax mgt Officers II na Customs Mgt Officers II vigezo vinafanana ila ukiomba zote nafasi moja inakuwa pending.
@Armstrongs alifanya oral mbili kwa siku moja.Yaaah hyo inatokeaga kutokana na ufinyu wa venue Ila changamoto kubwa inakuja upande wa Oral kama ulifanikiwa zote
Ikitokea mfano Mr. Y academic background alipita form iv/vi, akaenda cert/dip, akafika mpaka bachelor, halafu vyeti vyote akapandisha, huyo mtu ataruhusiwa kushiriki katika nafasi zinazotaka highest qualification, kwa maana ya bachelor. System itamtema akiomba nafasi inayotaka dip/cert aliyokua nayo awali.Pia nimekumbuka kuna mtu alikuwa anadegree halafu amesoma udereva na ana cheti cha NIT, sasa alitaka aombe nafasi za udereva, niliona kashauriwa afute sifa za taaluma nyingine ili aweke sifa za udereva pekee ndipo aweze kuomba nafasi ya udereva. Kwa mantiki hiyo kama system inakubali sifa tofauti huyo jamaa asingehangaika kufuta hizo sifa za degree ili abakishe sifa za udereva
Haina shida, unapandisha tu vyote, system ina soma kama kawa.Duh! Hii ni hatari sasa. Sawa Mkuu, asante sana.
Ikitokea mfano Mr. Y academic background alipita form iv/vi, akaenda cert/dip, akafika mpaka bachelor, halafu vyeti vyote akapandisha, huyo mtu ataruhusiwa kushiriki katika nafasi zinazotaka highest qualification, kwa maana ya bachelor. System itamtema akiomba nafasi inayotaka dip/cert aliyokua nayo awali.
Kweli kabisa ukiweka cha digrii uwezi omba kazi ya diploma au chini ya hapo. Lakini kama una digrii ukasoma na masters, ukiomba kazi kwa sifa ya digrii inakubali na mastarz yenyewe inakubali kwahiyo huyu wa masters wamempa uwanja mpana, lakini mwenye digrii ku apply diploma wamembanaNdio mkuu, ukipandisha vyeti vyote, kitakachotumika ni chenye ngazi ya juu. Ukijaribu kuomba nafasi za chini mfumo unakukataa.
Ukitaka kuomba ngazi za chini basi usipandishe vyeti vya ngazi ya juu. Mfano una barchelor lkn ulianzia diploma, basi pandisha cheti cha diploma tu ili uweze kuomba nafasi za ngazi hyo tu.
Alafu Una registere kwa NIDA🤣Nimeulizwa swali nikashindwa kulijibu, naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie.
Hivi kwa wale waliosoma bachelor zaidi ya moja na zinazoingia kwenye category tofauti wanawezaje kuruhusiwa kufanya maombi kwa nafasi za pande zote mbili?
Kwa mfano, mtu ana degree ya Journalism na nyingine ya Accountancy, je anawezaje kuwa na nafasi ya kuomba kazi za aina zote mbili?
Au ni mwanasheria na ana CPA, je anaweza vipi kuomba za sheria na za uhasibu?
Nashauri aweke zote, halafu kazi zikiwa zinatoka anaangalia wanahitaji watu wenye qualifications zipi then anafuta moja. Kwa hapo tu ndo inawezekana unless kazi ni zile za zoa zoa za kila course wanataka mfano TRANdugu mwanasheria wa uzi Professor Mwifwa, na wengine wote akiwemo @Prok tunaomba ufafanuzi.
Acheni Roho mbaya , vijana wameamua kujiongeza kielimu nyie mkaona wao watafaidi. Kila MTU anahaki ya kuomba KAZI anayotakaKwa ninavyofahamu mimi,