little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 997
Sio wa kwanza, humu kuna comments za wenye not selected for null na hao ni baada ya kufanya oralWe ndo wa kwanza kusikia umefika oral na una note selected for null
This was that moment ya Baba Jeni bye byeSio wa kwanza, humu kuna comments za wenye not selected for null na hao ni baada ya kufanya oral
Mimi utanisamehe, like kwenye huu uzi lazima nitupie ili nikujuze kuwa nishapita.Halafu Kuna ID huu zinapenda sana kulike comments za watu.. Binafsi hiz like sizipendi za zinachosha we ukisoma pita kimyakimya maana tunajaziana tu manotification dadeq..
Sitaki like nimemaindi..
Soma upite kushoto[emoji2]
nipo mimi pia nishaingiaga oral na status ipo not selected for null.We ndo wa kwanza kusikia umefika oral na una note selected for null
Mkuu kuhusu ule mrejesho:Mimi utanisamehe, like kwenye huu uzi lazima nitupie ili nikujuze kuwa nishapita.
Nyuzi zingine natoa like kwa kupenda tu na zingine sitoa kabisa
Hizi status zina maana ake, sema tunaamua kuachana nazo sababu hatuzielewi plus tunajipa matumaini kwamba tusubiri pdf tunipo mimi pia nishaingiaga oral na status ipo not selected for null.
ni kweli kaka nadhani ikiandikwa hivyo ina maana hukufanikiwa kwenye oralHizi status zina maana ake, sema tunaamua kuachana nazo sababu hatuzielewi plus tunajipa matumaini kwamba tusubiri pdf tu
Tusimshangae Wizy anayetaka kuzifahamu kwa uzuri zaidi
Mkuu we unahisi hiz status zinaweza kuchange kuanzia mda gani..ni kweli kaka nadhani ikiandikwa hivyo ina maana hukufanikiwa kwenye oral
Ujobless unaleta makasiriko mengi[emoji1]Halafu Kuna ID huu zinapenda sana kulike comments za watu.. Binafsi hiz like sizipendi za zinachosha we ukisoma pita kimyakimya maana tunajaziana tu manotification dadeq..
Sitaki like nimemaindi..
Soma upite kushoto[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujobless unaleta makasiriko mengi[emoji1]
Kumwambia Mwifwa asilike naona unampa adhabu kubwa[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu Kuna ID huu zinapenda sana kulike comments za watu.. Binafsi hiz like sizipendi za zinachosha we ukisoma pita kimyakimya maana tunajaziana tu manotification dadeq..
Sitaki like nimemaindi..
Soma upite kushoto[emoji2]
Kijana wa hovyo[emoji23][emoji23]π π π π πmwaka huu tunaitwa kazini mzee
kama diwani leo ni jobless naamini mwaka huu na sisi tunaweza kulambaa asali.Kijana wa hovyo[emoji23][emoji23]
Inatosha kaka nazani tumeelewa.Mimi sikufanya written wakuu...ila status kwenye app ilichange kutoka SHORTLISTED kwenda SELECTED FOR NULL
Lakin kwenye web ilibak SHORTLISTED tu!
Na wenzangu tulofanya oral kama watatu kwenye app waliekewa NOT SELECTED FOR NULL.
hahahaahaha, lazima atakuwa alikuwa nao kwenye oral uyu ni mtu mzima, asahau watu aliofanya nao oral kweli.Una hakika hao watu ulikuwa nao kwenye Oral?
Sante kwa somo kaka.nipo mimi pia nishaingiaga oral na status ipo not selected for null.
Wenye practical na wakafika oral inaandika selected for oral na si selected for null,,, kwenye app. Mm naiona hivyo mliofanya practicals vp na kwenu???Nazani ni kwamba ukifika passmark written juu ya 50 na hukuchaguliwa kwenda oral unakutana na "" not selected for oral""" mtu
alie piga paper akapata 75 na hakuchaguliwa oral huwezi mwandikia "" not selected for null"" with red.
Na ukifanya written na hukufanikiwa kufika 50 unakutana "" not selected for null""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ukifanya oral na hukufanikiwa kufikia passmark unakutana na """ not selected for null"""
NB
Uu ni mtazamo wangu so sio lazima iwe kweli ni kitu ambacho nakifanyia tafit so haija thibitishwa ipo hivo ila naisi ndo ivo.
Watu wa cuba wamenielewa.
Mkuu unachokisema hiki una uhakika nacho???nipo mimi pia nishaingiaga oral na status ipo not selected for null.