Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nlimwambia hamtofautian, kuna mtu alishawah kukusema humu reaction yako nliipenda, yaan positive kabisa, na yeye naona kama kweli sio Wizy basi ana reaction nzuri, maana sio kwa anavyoandamwa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwenye maoni ya Online Applitude test naomba usituangushe majobless, tuwakilishe kwa namna yeyote ile unayoona inafaa.

Mimi nawaza hapa niandae hata kapdf cha page 1 nitupie kwenye email yao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwenye maoni ya Online Applitude test naomba usituangushe majobless, tuwakilishe kwa namna yeyote ile unayoona inafaa.

Mimi nawaza hapa niandae hata kapdf cha page 1 nitupie kwenye email yao
Siku hizi nipo mvivu kuandika mno[emoji23][emoji23][emoji23]
Maoni ninayo kibao ila nkiwaza kuandika nguvu zinaibwa na wachawi[emoji1787]
 
Huyu Wizy Wala hakosei.. Haya mambo ya Status ni muhimu sana..
Kama umefanya Oral na imefika miezi miwili mpaka sasa na status inasoma Selected for Null hapo umeula Endelea kuagiza beer tu hapo Bar... Hii ni bila kujali utatokea kwenye correct placements au lile pdf la vumbivumbi utakuwepo tena Taasisi poa
Endelea kuagiza beer usije ukalia,wizy alikimbia huku
 
Kwenye app mm nina selected for null nilifanya oral mwezi uliopita,

nina not selected for null nilifeli written,

Lkn nina selected for oral inteviw ambapo nilifanya written na practical kwenda oral...


Nb.
Not selected for null nyekundu, selected for null ya kijani,
Nadhani kwenye wanaofanya practical kunakuwa na selected for oral, kwenye app kama navoiona mm na watu washaitwa job since jully.
Yah ukifail oral pia kwenye app inasoma NOT SELECTED FOR NULL ninazo za kutosha[emoji23]
 
Halafu Kuna ID huu zinapenda sana kulike comments za watu.. Binafsi hiz like sizipendi za zinachosha we ukisoma pita kimyakimya maana tunajaziana tu manotification dadeq..
Sitaki like nimemaindi..
Soma upite kushoto😃
 
Back
Top Bottom