Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Lab technician In electronics and telecommunicationsPost ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lab technician In electronics and telecommunicationsPost ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nlimwambia hamtofautian, kuna mtu alishawah kukusema humu reaction yako nliipenda, yaan positive kabisa, na yeye naona kama kweli sio Wizy basi ana reaction nzuri, maana sio kwa anavyoandamwa[emoji23][emoji23]
Wamekueleza sababu kwenye akaunti?Mi wamenikata
Reason wameweka nn mkuuMi wamenikata
Siku hizi nipo mvivu kuandika mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwenye maoni ya Online Applitude test naomba usituangushe majobless, tuwakilishe kwa namna yeyote ile unayoona inafaa.
Mimi nawaza hapa niandae hata kapdf cha page 1 nitupie kwenye email yao
Kaka pamoja na yote namshukuru Mungu nimetoboa kuingia oral Mungu amekua upande wangu.
Yah eti barua sikuiaddress kwa dvs academicWamekueleza sababu kwenye akaunti?
Endelea kuagiza beer usije ukalia,wizy alikimbia hukuHuyu Wizy Wala hakosei.. Haya mambo ya Status ni muhimu sana..
Kama umefanya Oral na imefika miezi miwili mpaka sasa na status inasoma Selected for Null hapo umeula Endelea kuagiza beer tu hapo Bar... Hii ni bila kujali utatokea kwenye correct placements au lile pdf la vumbivumbi utakuwepo tena Taasisi poa
Tuliosoma Cuba tumeshaelewa,huu ni ujio mpya wa wizy ila content ni ileile🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 WIZZY popote ulipo rudiiiii.
Kwa bahati mbaya mm sio yeye. Nilipitia comment za wizzy, nikajikuta nimekua muumini wa status.
Huu Uzi mtamu broo kuachia kiurahisi sio mchezo🤣Hahahahaha Wizy kakaa kaona moyo unamuuma Kaamua kuja kwa kasi zaidi
Yaaah,,, Wenda ulituma kwa Karibu,PSRS.. hao hawanaga MBAMBAMBA ni sahihi ulijikoroga kijanaYah eti barua sikuiaddress kwa dvs academic
Daah na ww ukapata kafeeling cha status kama wizy 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 WIZZY popote ulipo rudiiiii.
Kwa bahati mbaya mm sio yeye. Nilipitia comment za wizzy, nikajikuta nimekua muumini wa status.
Mimi sikufanya written wakuu...ila status kwenye app ilichange kutoka SHORTLISTED kwenda SELECTED FOR NULL
Yah ukifail oral pia kwenye app inasoma NOT SELECTED FOR NULL ninazo za kutosha[emoji23]Kwenye app mm nina selected for null nilifanya oral mwezi uliopita,
nina not selected for null nilifeli written,
Lkn nina selected for oral inteviw ambapo nilifanya written na practical kwenda oral...
Nb.
Not selected for null nyekundu, selected for null ya kijani,
Nadhani kwenye wanaofanya practical kunakuwa na selected for oral, kwenye app kama navoiona mm na watu washaitwa job since jully.
Jitahidi uandike tu maana muda wa kwenda kwenye mdahalo huwezi kuupataSiku hizi nipo mvivu kuandika mno[emoji23][emoji23][emoji23]
Maoni ninayo kibao ila nkiwaza kuandika nguvu zinaibwa na wachawi[emoji1787]
Walitaka uiaddress huko na wala sio kwa Kitenge?Yah eti barua sikuiaddress kwa dvs academic
Una hakika hao watu ulikuwa nao kwenye Oral?Mimi sikufanya written wakuu...ila status kwenye app ilichange kutoka SHORTLISTED kwenda SELECTED FOR NULL
Lakin kwenye web ilibak SHORTLISTED tu!
Na wenzangu tulofanya oral kama watatu kwenye app waliekewa NOT SELECTED FOR NULL.
We ndo wa kwanza kusikia umefika oral na una note selected for nullYah ukifail oral pia kwenye app inasoma NOT SELECTED FOR NULL ninazo za kutosha[emoji23]