makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Mimi kwenye web baada ya kuingia oral ilikuwa selected for oral ile ile baada ya kufaulu kwenda oral ilidunu kwa muda kama wiki tatu hivi baadae ikaniandikia SHORTLISTED bila chochote nayo ilikaa mpaka ikaja badilika na kuwa selected for oral na namba hadi hii leo ipo hivyoKwenye web inakuwa selected for oral ila kwenye app ndo inaandika not selected for null
Hongera sanaaa kaka.Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
Kwa hio yule ndugu yako kafanikiwa kuipata ile kazi ambayo barua ilimpita???Mkuu kuhusu ule mrejesho:
Mwajiri alimpokea ndugu yangu, kumbe ile nafasi hakuna mtu aliyeenda kuijaza. Wakamwabia aende PSPR
Kufika kule uongozi ukawasiliana wakakubali akajaze nafasi, leo anaenda kuripoti kituo cha kazi.
Kiukweli wamefanya fair sana, ila pia hii ni kutokana hakuna mtu aliyeripoti kwenye ile nafasi.
Ndio mkuuKwa hio yule ndugu yako kafanikiwa kuipata ile kazi ambayo barua ilimpita???
Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
Mwajiri na psrs hawakuleta pingamizi lolote hapo kati?Ndio mkuu
Hii ni good news, am happy for himNdio mkuu
Mrija is on the way....Mimi kwenye web baada ya kuingia oral ilikuwa selected for oral ile ile baada ya kufaulu kwenda oral ilidunu kwa muda kama wiki tatu hivi baadae ikaniandikia SHORTLISTED bila chochote nayo ilikaa mpaka ikaja badilika na kuwa selected for oral na namba hadi hii leo ipo hivyo
Mkuu barua utachukua jumatatu hapo migiro au sio?Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
Safi sanaUkifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
Hawakuleta, mambo yalienda sawia. Hapo juu nimeelezea sababu.Mwajiri na psrs hawakuleta pingamizi lolote hapo kati?
Umepataje usafiri leo aisee maana ni changamoto.Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
Thanks on behalf, ila ni mdadaHii ni good news, am happy for him
Yes, mwajiri anarudisha jina/majina ya watu ambao hawajaripoti.Mimi ninachouliza usipo report katika kazi ni muda gani ile nafasi inarudi utumishi kwa ajili ya mtu mwengine aliyefaulu nae
Ni ina kuwa kwa muda gani usipo reportYes, mwajiri anarudisha jina/majina ya watu ambao hawajaripoti.
PSPR wanapanga mtu mwingine kama yupo kwenye database, kama hayupo inabidi waangalie namna ya kuitisha tena interview
Hii sifahamu mkuu, ila maelezo yao uwa ni ndani ya siku 14 tangu barua itokeNi ina kuwa kwa muda gani usipo report
Napita tuFact kama izi ndo za muhimu kimsingi kumbe huenda baadhi ya waliofanya oral na waliofail written huwa wanaandikiwa hio "" not selected for null""
"""Lets leave room to add new data"""