Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye web inakuwa selected for oral ila kwenye app ndo inaandika not selected for null
Mimi kwenye web baada ya kuingia oral ilikuwa selected for oral ile ile baada ya kufaulu kwenda oral ilidunu kwa muda kama wiki tatu hivi baadae ikaniandikia SHORTLISTED bila chochote nayo ilikaa mpaka ikaja badilika na kuwa selected for oral na namba hadi hii leo ipo hivyo
 
Mkuu kuhusu ule mrejesho:

Mwajiri alimpokea ndugu yangu, kumbe ile nafasi hakuna mtu aliyeenda kuijaza. Wakamwabia aende PSPR

Kufika kule uongozi ukawasiliana wakakubali akajaze nafasi, leo anaenda kuripoti kituo cha kazi.

Kiukweli wamefanya fair sana, ila pia hii ni kutokana hakuna mtu aliyeripoti kwenye ile nafasi.
Kwa hio yule ndugu yako kafanikiwa kuipata ile kazi ambayo barua ilimpita???
 
Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua

Safari njem kaka,

M/Mungu akutangulie katika safari yako, ufike salama na kurudi salama na pia uweze kuanza kazi kwa wakati.
 
Mimi kwenye web baada ya kuingia oral ilikuwa selected for oral ile ile baada ya kufaulu kwenda oral ilidunu kwa muda kama wiki tatu hivi baadae ikaniandikia SHORTLISTED bila chochote nayo ilikaa mpaka ikaja badilika na kuwa selected for oral na namba hadi hii leo ipo hivyo
Mrija is on the way....
 
Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
Mkuu barua utachukua jumatatu hapo migiro au sio?
 
Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
Umepataje usafiri leo aisee maana ni changamoto.
 
Mimi ninachouliza usipo report katika kazi ni muda gani ile nafasi inarudi utumishi kwa ajili ya mtu mwengine aliyefaulu nae
Yes, mwajiri anarudisha jina/majina ya watu ambao hawajaripoti.

PSPR wanapanga mtu mwingine kama yupo kwenye database, kama hayupo inabidi waangalie namna ya kuitisha tena interview
 
Embu tutoe maoni ya kuwa na written interview kweny mfumo imekaa sawa hii ??? Au tuwe tunaenda tunakutana na marafiki zetu tunasalimiana nao zen tunaingia dk 40 za jasho na Kasi

Tujadili hili suala tuache status kwa prsp

Wkingz maoni yako plz
Mwifwa maoni plz
abeche maoni plz
 
Back
Top Bottom