Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kule twitter siku hizi kuna nyuzi zinaitwa "Watoto wamelala thread" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], kazi kweli kweli
Mkuu utakuwa mzoefu, hii Twitter me staki kabisa kuitumia. Ina mambo ya hivyo kweli
 
Mkuu utakuwa mzoefu, hii Twitter me staki kabisa kuitumia. Ina mambo ya hivyo kweli
Hahahahaa.
Twitter imekaribia kuchafuka kwa sasa, vitu vingi vya hovyo vishaingizwa huko
 
Hivi kule hakuna kudhibiti ule upuuzi, maana hatari sana
Sijaona, ila ukivunja sheria zao wanakususpend.

Akaunti yangu ya kwanza nilijiunga mwaka 2015, wakaja kuisuspend sijui kosa lake, nikaja kufungua nyingine tena.

Kule twitter noma sana, kuna wasauzi walianzisha thread ya mbususu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], ilitembea sana. nilikuja kukutana nayo baada ya mtu niliyemfolo kuilike
 
Hahaaa hata sana mtandao wa hovyo ule
 
PSPR pia Vacancy zitanzaa kumwagika za Kutosha Mwezi Huu Kuendelea.Kwa Mwaka Mpya Wa Fezwa 2022/23.
NB;Vijana Mkiend Muwakande Haswa Mwaka Mgumu Huu Vanacy chachi Sana.
Kama ni chache hapo sijui kama nitabahatisha nafasi yangu maana ni rare sana kutoka kwa wingi
 
Kikubwa Umepata ile Experience Ya Mchakato Unavyokuwa na Kujua Mambo Kadhaa Khs Saili Na Hatua Zake Then Ulijifanyia Assessment Mwenye Baada ya kufeli Ile ya 1,2,3 na Kuhisi Wap Ulikosea Plus Fact na Maelekez Mengine Ya Wadau Wa Huu Uzi.
Kama Ulijiandaa Na Ukasoma Vzuri.
Ikitoka Ipo tyu Labda kama Sio Wakati Sahihi kwako kwa kudra zake Na No Kukata Tamaa mpaka kieleweke.
Ukikosaa rudi kwa mhindi Betting 😀 Na Mishe Mengine.
Zikitoka Omba Na Anzaa kujifua Mdog mdgo Toka Umeona Neno Received.
NB;Kumbuka Afya Muhimu. Kwingine kuna Vipimo kabla Ya Kuanza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…