Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapana kaka angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, anauliza swali la kichochezi sana.

Leo upo weekend au upo mjini? Kama upo mjini nije nioshe macho huko leo nina nafasi hapa mtaani
 
Hahahaha, anauliza swali la kichochezi sana.

Leo upo weekend au upo mjini? Kama upo mjini nije nioshe macho huko leo nina nafasi hapa mtaani
Daah leo jpili nipo home, napumzika. Huko nakuwepo kuanzia j3 to jmoc
 
Usaili TRA ulikuaje kwa mlioenda tupeni mrejesho, tuanze kujipanga na received zinazofuata, maana yajayo yanafurahisha.....Wadau wa kutabiri placement na call for interview inayofuata ni ipi???
 
PSPR pia Vacancy zitanzaa kumwagika za Kutosha Mwezi Huu Kuendelea.Kwa Mwaka Mpya Wa Fezwa 2022/23.
NB;Vijana Mkiend Muwakande Haswa Mwaka Mgumu Huu Vanacy chachi Sana.
Sema nn kuna kipolo cha usaili cha toka mwezi wa 6, 2022 kimya mpaka leo zile nafasi za Tutots VETA,watoe basi shortlist tunalizame tuwaze mengine
 
Back
Top Bottom