Ilikuwa jana mkuu TBCLini mkuu taarifa nzuri hii TV gan nifatilie
Sasa hata kwenye account zao za social media na website Yao hawajapost kitu wakati ni kitu muhimu sana Kwa maendeleo yangu jobless wanazingua sana😞Ilikuwa jana mkuu TBC
Psrs watoe kazi tu tuombe tukafanye interviewMpk wafungue ivy vyuo.
Hukuenda za TRA sio?Psrs watoe kazi tu tuombe tukafanye interview
Sikwenda mkuuHukuenda za TRA sio?
Hahahaha, anauliza swali la kichochezi sana.Hapana kaka angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah leo jpili nipo home, napumzika. Huko nakuwepo kuanzia j3 to jmocHahahaha, anauliza swali la kichochezi sana.
Leo upo weekend au upo mjini? Kama upo mjini nije nioshe macho huko leo nina nafasi hapa mtaani
SawaDaah leo jpili nipo home, napumzika. Huko nakuwepo kuanzia j3 to jmoc
Na a lot nauzia nyumban Kariakoo nikiwa na orderSawa
Da pgo na shidaNa a lot nauzia nyumban Kariakoo nikiwa na order
Sijakuelewa kaka[emoji23]Da pgo na shida
Ana maanisha unachakarika ipasavyo[emoji3][emoji3][emoji3].Sijakuelewa kaka[emoji23]
Sema nn kuna kipolo cha usaili cha toka mwezi wa 6, 2022 kimya mpaka leo zile nafasi za Tutots VETA,watoe basi shortlist tunalizame tuwaze menginePSPR pia Vacancy zitanzaa kumwagika za Kutosha Mwezi Huu Kuendelea.Kwa Mwaka Mpya Wa Fezwa 2022/23.
NB;Vijana Mkiend Muwakande Haswa Mwaka Mgumu Huu Vanacy chachi Sana.
Nina received za toka June last year zipo kama zilivyoSema nn kuna kipolo cha usaili cha toka mwezi wa 6, 2022 kimya mpaka leo zile nafasi za Tutots VETA,watoe basi shortlist tunalizame tuwaze mengine
Hahahaha hatati mkuuNina received za toka June last year zipo kama zilivyo
Kumekuchaaaaaa!!!!!!!Wale wa MDA kuna mkeka wenu huko wa mkando
Muongo hiyo.. mbona hakuna new ya leo