tupeni mirejesho ya STUTUSBora PSRS wametoa hii mikeka, Sasa watu wako bize na Mikando tumepumzika mambo ya "STATUS"
Andaa affidavit kuaddress hiyo shida, ama deed poll, sanasana vyeti vya kuzaliwa uwa na majina matatu, na vya shule majina mawili au initial ya jina la kati na hayo mawili, sasa hayo ya kwenye vyeti mawili yafananie na ya kwenye vyeti vingine hapo Utumishi wanakubali, lakin naona scenario yako kuna majina hayapo kabisa kwenye some documents na kwingine yapo. Hapo affidavit itakuhusuWakuu naomba kuuliza kuhusu majina.
Mimi mfano naitwa (Ally Seleman Said kinyogoli)
Lakin shuleni nikatumia jina hivi
( Ally S. Said ).
Nikawa nimeliacha jina la mwisho la ukoo hilo la kinyogoli.
Hivyo kwenye vyeti vyangu vyote vikawa na jina hilo la ALLY S. SAID na hakuna jina la kinyogoli.
Pasipobahati kwenye kitambulisho cha taifa na leseni yangu ya udereva vikawa na jina la ALLY SELEMANI KINYOGOLI.
Maana yake hapo jina la SAID halipo. Na hata ukitazama kwenye ile web ya AJIRA nao wanakusajili kwa jina liloko kwenye kitambulisho cha taifa kupitia nambari zako na kwenye kitambulisho, jina la SAID halipo, je kutakuwa na changamoto yoyote hapo
Maana vyeti vyote havina jina la Kinyogoli. Alafu vitambulisho havina jina la Said.
Msaada tafadhali. Asanteni.
NB. Cheti changu tu cha kuzaliwa ndio kina majina yote manne yani ( ALLY SELEMANI SAID KINYOGOLI.)
NA Wakati pia najisajili katika kupata NIDA Yangu niliandika majina manne lakin wakalichukua la mwisho kabisa.
Karibu kaka, yaan ata wewe ukitaka badilisha leo from Mwifwa dunia nzima ikujue kama Maryjuan unaruhusiwa, ili mradi uweke sababu tu ya kufanya hivyo sio unajibadilishia badilishia tuAhsante kwa muongozo, sikujua hiyo tofauti, sasa nimejua. Najivunia uwepo wako humu napata mawili matatu
Nimeangalia Zones zote hakuna jina.Ingia angalia majina ya Kanda zote kwanza.Ujiridhishe kabisa ndio mengine yaendelee.
Yes, wale jamaa wa utumishi wakishakataa wamekataa, utalia utaamka watakataa tu, kwa hiyo mimi uwa nashauri ili uwe on the safe side ni bora tu uwe na deed poll. Tena ukianza waelezea kisheria hivi kisheria vile ndo wanaona kama unawapanda kichwan, the other day nlitaman kulia kwa ajili ya rafiki anguUnaweza pia kuiandaa in general kuwa unaziomba concerned government Authorities without naming them waku treat as the same person mwenye majina tofauti.
Lakini pia unaweza kuandaa moja special kwa ajili ya PSRS tu...unakuwa unaenda nayo kila usaili..
Maana wale jamaa hawana muda wa kusoma contents za kiapo....
Hao wanaokataa affidavit na kutaka deedpoll nadhani si wataalamu wa sheria....wanatumia utashi wao tu, ila affidavit ni document sahihi pia inayotambulika kisheria..
sema tu ubaya wa affidavit mara nyingi itabidi uandae kila taasisi unayoenda waki notice mkanganyiko wa majina.
Tulia jamani[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]tupeni mirejesho ya STUTUS
yaan status hazibadiliki tokea nimalze kufanya oral. inasikitisha sanaTulia jamani[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Nashukuru sana PGOAndaa affidavit kuaddress hiyo shida, ama deed poll, sanasana vyeti vya kuzaliwa uwa na majina matatu, na vya shule majina mawili au initial ya jina la kati na hayo mawili, sasa hayo ya kwenye vyeti mawili yafananie na ya kwenye vyeti vingine hapo Utumishi wanakubali, lakin naona scenario yako kuna majina hayapo kabisa kwenye some documents na kwingine yapo. Hapo affidavit itakuhusu
Nimeangalia Kanda zote hakuna jina, nipo mkoani kwa hiyo ni vigumu labda kama kuna namna nyingineya kuwasiliana nao.Kuna kada still bado hawajaita, na je umeangalia kada uliyoapply jina lako hamna?
Umeangalia zones zote haupo?
Majina ni mengi sana, kama bado imeandikwa received subir wataaupdate baadae na kukuwekea sababu ya kutoitwa, au kama upo Dar ama Dodoma nenda kabisa kwenye office zao ama wapigie simu, no zao za simu zipo kwenye website
Yes fanya hivyo isije kukuletea shidaNashukuru sana PGO
Ngoja nilifanyie kazi
Maana mimi hata sielewi ilikuaje lkn ndio hivyo cheti changu cha kuzaliwa kina majina manne
Na shuleni tangu nikiwa vidudu nilikuwa natumia majina matatu kama nilivyosema sema awal
Wapigie simuNimeangalia Kanda zote hakuna jina, nipo mkoani kwa hiyo ni vigumu labda kama kuna namna nyingineya kuwasiliana nao.
w mkuu?yaan status hazibadiliki tokea nimalze kufanya oral. inasikitisha sana
ORAL INTERVIEW ulifanya lini Mkuu..?yaan status hazibadiliki tokea nimalze kufanya oral. inasikitisha sana
december mwaka janaORAL INTERVIEW ulifanya lini Mkuu..?
Ako inaoneshaje Hadi Sasa..?december mwaka jana
selected for oral. yaani imeganda ivo ivo. cjui nimekandwaKw
Ako inaoneshaje Hadi Sasa..?
Habari wakuu, nilituma maombi kwenye zile kazi za MDA & LGAs lakini Shortlist ya Interviews imetoka jina langu sijaliona.
Mara zote nimekuwa nikiomba na mara zote nimekuwa nikiitwa lakini kwa mara ya kwanza sijaitwa na sielewi tatizo ni nini.
Nikiingia kwenye Account tangu status ni RECEIVED tu, hakuna maelezo why sikuwa shortlisted.
Naombeni msaada wa namna ya kuwasiliana nao ili nipate ufafanuzi why sikuitwa. Kipindi cha nyuma nilishawahi kuwatafuta kwa shida nyingine kupitia namba zao bila mafanikio.
Oral umefanya lini?.yaan status hazibadiliki tokea nimalze kufanya oral. inasikitisha sana
Wengi waliofanya December wanasema hawajaona mabadiliko Hadi leo.. Subiri kufikia mwezi wa pili(February) oene itakuwaje kabla ya kutoka replacementselected for oral. yaani imeganda ivo ivo. cjui nimekandwa
Kwa experience yako mjue huyo Chalii, Changes zinatokeaga ndani ya siku ngapi..?Oral umefanya lini?.
Kama ni siku za karibuni kuwa mpole.