MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Hawa sawaInakubalika cha msingi usikose affirdavity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa sawaInakubalika cha msingi usikose affirdavity
Huwa wanahitaji deed poll kama hauna itafute mapemaNAOMBENI KUULIZA IKITOKEA CASE MAJINA YANATOFAUTIANA KWENYE CHETI KIMOJA
AVIFIDAVIT WANA RUHUSU UINGIE NAYO KWENYE USAILI AU MPAKA DEAD POLL ?
NA KAMA AFIDAVIT WANARUHUSU PIA JE KAMA UNAYO YA MWAKA JANA INAKUBALIKA ? YANI BADO INATUMIKA
Hyo ni tofaut na affidavity?Huwa wanahitaji deed poll kama hauna itafute mapema
Maombi yanachambuliwa manually, na kanuni inataka picha iwe sahihi, sasa ukiweka picha kituko (no clear background/selfie etc) mchambuzi kwa huruma ya kibinadamu akaku-shortlist haiwi garantee kwamba maombi yako yalikua na vigezo vyote, mchambuzi mwengine anaweza kupiga chini, badilisha picha weka picha sahihi. Majibu kwa mujibu wa sekritariatiKwa mfano ikitokea ni issue ya passport size ikawepo lakini sababu ikawa hivyo kuna uwezekano wa kuweka na kufuatilia juu ya kuomba niwe miongoni mwa nyongeza ya majina? Nasema hivi kwasababu kuna interview moja niliandikiwa hivo chakushangaza interview zilikuwa kada tofauti, moja nikaandikiwa (passport size not uploaded) nyingine nikachaguliwa, sasa hapo ndio sielewi nifantejw endapo ikitokea ivo
Kuna wakaguzi hawataki affidavit wanataka deed poll kabisa, so being at the safe side atafute deed poll kama akishindwa basi ajaribu kwenda na affidavitInakubalika cha msingi usikose affirdavity
How much is dead poll?Kuna wakaguzi hawataki affidavit wanataka deed poll kabisa, so being at the safe side atafute deed poll kama akishindwa basi ajaribu kwenda na affidavit
Yes ni tofauti, affidavit kiufupi unaapa kuwa majina yote plus yaliyokosewa kuwa ni ya kwako, yaan unawapa taarifa PSRS kuwa wakutambue kwa majina yote hayo, ila Deed Poll inakubadilisha majina yako permanent, yaan mfano from today ntatambulika kama Yesamrich so Maryjuan sitatumia tena. Kwenye deed poll unachagua jina moja tu na utaenda kuisajili Wizara ya Ardhi ambapo inatumia almost siku tatu au nne za kazi inakuwa ishatoka. Kumbuka hii aiffect documents ambazo ulishatumia majina tofauti na ulilosajili, hilo ulilosajili linaanza tumika from that date deed poll imetoka. Halafu affidavit isn't that official, sijui kama ntaeleweka hapa, yaan affidavit mfano ukienda bank lazima utengeneze affidavit, sijui PSRS lazima uwe na inayohusu PSRS, sijui umeenda office fulan lazima uwe na affidavit inayohusu hiyo office, ila Deed Poll ni hiyo hiyo na itakutambulisha kila sehemu, yaani hamna sehemu watakuzingua kuhusu majina kama una deedpoll iliyosajiliwa.Hyo ni tofaut na affidavity?
Kwahyo ukienda na affidavit inayohusu psrs wanaikataa ?Yes ni tofauti, affidavit kiufupi unaapa kuwa majina yote plus yaliyokosewa kuwa ni ya kwako, yaan unawapa taarifa PSRS kuwa wakutambue kwa majina yote hayo, ila Deed Poll inakubadilisha majina yako permanent, yaan mfano from today ntatambulika kama Yesamrich so Maryjuan sitatumia tena. Kwenye deed poll unachagua jina moja tu na utaenda kuisajili Wizara ya Ardhi ambapo inatumia almost siku tatu au nne za kazi inakuwa ishatoka. Kumbuka hii aiffect documents ambazo ulishatumia majina tofauti na ulilosajili, hilo ulilosajili linaanza tumika from that date deed poll imetoka. Halafu affidavit isn't that official, sijui kama ntaeleweka hapa, yaan affidavit mfano ukienda bank lazima utengeneze affidavit, sijui PSRS lazima uwe na inayohusu PSRS, sijui umeenda office fulan lazima uwe na affidavit inayohusu hiyo office, ila Deed Poll ni hiyo hiyo na itakutambulisha kila sehemu, yaani hamna sehemu watakuzingua kuhusu majina kama una deedpoll iliyosajiliwa.
Kuandaa deed poll, nenda kwa wakili akuandalie ukiwa ushachagua jina unalotaka, na majina yote ambayo ulishawah tumia kwenye documents uko nayo, deed poll itagongwa muhuri halafu utaenda isajili wizara ya Ardhi office zilizo karibu nawe ama unaweza muachia kazi hiyo Wakili akamaliza kitu.
NB: Kama kuna sehemu nmejimislead maPGO wenzangu watanilead[emoji23][emoji23].
Nawasilisha.
Nasubr jibuKwahyo ukienda na affidavit inayohusu psrs wanaikataa ?
Deed Poll kutengenezewa inadepend na bei ya wakili, ikishatengenezwa kusajili wizara ya Ardhi ni 32,000/-How much is dead poll?
Unawekwa ndio maana bado na wenyewe wapo under PSRS .wadau naomba mnieleweshe, kama umefanya interview kwenye taasisi za vyuo vikuu kama udom,udsm nk nakufaulu ila ukakosa nafasi.je kuna uwezekano wa kuwekwa kwenye database ya utumishi?.
Asante dearDeed Poll kutengenezewa inadepend na bei ya wakili, ikishatengenezwa kusajili wizara ya Ardhi ni 32,000/-
Halafu affidavit Mimi ninavyojua ni moja tu inatumika kote kote maana kile si kiapo kina muhuri kabisaNasubr jibu
Mm pia ndo nnavojua,yangu haijaspecify wapi na wapi,iko general. Labda wamebadlisha hivi karbunHalafu affidavit Mimi ninavyojua ni moja tu inatumika kote kote maana kile si kiapo kina muhuri kabisa
Mmh hamna sidhani kiapo ni kile kile kuhusu kukataa au kuikubali sijajua maana hadi sasa majibu 50 /50 hadi kwa jamaa nilioulizaMm pia ndo nnavojua,yangu haijaspecify wapi na wapi,iko general. Labda wamebadlisha hivi karbun
Wanakubali inategemea, mimi kwa experience yangu, siku ya kwanza naenda kufanya interview pale DUCE nlikuwa na rafiki angu, yeye majina kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho yalikuwa tofauti, na affidavit to address that alikuwa nayo, but yule baba aligoma kabisa, alimwambia akaandae deed poll, but the other day tumeenda Dodoma, the other friend of mine alikuwa na affidavit akakubaliwa. Hapa ninachoona inategemea na wakaguzi, maana hiyo hiyo siku kuna rafiki angu mwingine hakuwa na vyeti original alisahau vyeti Dar, tukatoa copy soft copies alizokuwa nazo na kucertify yaani ilikuwa kama tunabet na maajabu akakubaliwa. Ambapo wengi wao wasingekubali ata kidogo, scenario nyingine hizi interview za NAOT na MDA, kuna rafik angu kafanya usaili akitumia kitambulisho cha uwakili, akuzinguliwa popote, kwa hiyo na NAOT akarelax hakutafuta barua, ila NAOT alikataliwa katakata na vilio juu ila waligoma.Nasubr jibu
Yako umeitumia wapi na wapi ?Mm pia ndo nnavojua,yangu haijaspecify wapi na wapi,iko general. Labda wamebadlisha hivi karbun
Siwezi kuongelea hapa, maana kila wakili ana namna ake ya kuandaa affidavit labda.Mm pia ndo nnavojua,yangu haijaspecify wapi na wapi,iko general. Labda wamebadlisha hivi karbun