Sawa nimeona shukranMDA,LGA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nimeona shukranMDA,LGA.
Tupo wengi ngoja tusubiri hayo majibuSwali zuri,nami nasubr majibu
Hivi ule uzi unaongelea mitihani ya utumishi unaitwaje niusearchTupo wengi ngoja tusubiri hayo majibu
Kwani Mda zilifanyika kikanda? Zote zilifanyika utumishi pale UdomKweli sema wameanza kuweka kanda ya mwanza
Ule wa ifahamu sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma na kazi zake au upi?Hivi ule uzi unaongelea mitihani ya utumishi unaitwaje niusearch
Hakuna swali za research, ni maswali yaliyobase katika kada husika tu, tena katika module zinazohu kaz husika tu.Swali zuri,nami nasubr majibu
Hapo saaaf,mana nsivopenda researchHakuna swali za research, ni maswali yaliyobase katika kada husika tu, tena katika module zinazohu kaz husika tu.
Sijui ndo huo sina uhakikaUle wa ifahamu sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma na kazi zake au upi?
Nakumbuka huu tu
@mwifa msaada najua unaujua nmesahau title yakeHivi ule uzi unaongelea mitihani ya utumishi unaitwaje niusearch
ShukranKila la kheri wote mnaojipanga kwa mkando huu mbeleni
@mwifa msaada najua unaujua nmesahau title yake
Ameen asante sana kkKila la kheri wote mnaojipanga kwa mkando huu mbeleni
UbarikiwePSRS interview questions (written, pract & oral)
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written.... Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.www.jamiiforums.com
AsantePSRS interview questions (written, pract & oral)
AmeeeenMwenyezi Mungu awe nanyi nyote mnaotarajia kufanya interview