Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa mfano ikitokea ni issue ya passport size ikawepo lakini sababu ikawa hivyo kuna uwezekano wa kuweka na kufuatilia juu ya kuomba niwe miongoni mwa nyongeza ya majina? Nasema hivi kwasababu kuna interview moja niliandikiwa hivo chakushangaza interview zilikuwa kada tofauti, moja nikaandikiwa (passport size not uploaded) nyingine nikachaguliwa, sasa hapo ndio sielewi nifantejw endapo ikitokea ivo
Maombi yanachambuliwa manually, na kanuni inataka picha iwe sahihi, sasa ukiweka picha kituko (no clear background/selfie etc) mchambuzi kwa huruma ya kibinadamu akaku-shortlist haiwi garantee kwamba maombi yako yalikua na vigezo vyote, mchambuzi mwengine anaweza kupiga chini, badilisha picha weka picha sahihi. Majibu kwa mujibu wa sekritariati
 
wadau naomba mnieleweshe, kama umefanya interview kwenye taasisi za vyuo vikuu kama udom,udsm nk nakufaulu ila ukakosa nafasi.je kuna uwezekano wa kuwekwa kwenye database ya utumishi?.
 
Hyo ni tofaut na affidavity?
Yes ni tofauti, affidavit kiufupi unaapa kuwa majina yote plus yaliyokosewa kuwa ni ya kwako, yaan unawapa taarifa PSRS kuwa wakutambue kwa majina yote hayo, ila Deed Poll inakubadilisha majina yako permanent, yaan mfano from today ntatambulika kama Yesamrich so Maryjuan sitatumia tena. Kwenye deed poll unachagua jina moja tu na utaenda kuisajili Wizara ya Ardhi ambapo inatumia almost siku tatu au nne za kazi inakuwa ishatoka. Kumbuka hii aiffect documents ambazo ulishatumia majina tofauti na ulilosajili, hilo ulilosajili linaanza tumika from that date deed poll imetoka. Halafu affidavit isn't that official, sijui kama ntaeleweka hapa, yaan affidavit mfano ukienda bank lazima utengeneze affidavit, sijui PSRS lazima uwe na inayohusu PSRS, sijui umeenda office fulan lazima uwe na affidavit inayohusu hiyo office, ila Deed Poll ni hiyo hiyo na itakutambulisha kila sehemu, yaani hamna sehemu watakuzingua kuhusu majina kama una deedpoll iliyosajiliwa.

Kuandaa deed poll, nenda kwa wakili akuandalie ukiwa ushachagua jina unalotaka, na majina yote ambayo ulishawah tumia kwenye documents uko nayo, deed poll itagongwa muhuri halafu utaenda isajili wizara ya Ardhi office zilizo karibu nawe ama unaweza muachia kazi hiyo Wakili akamaliza kitu.

NB: Kama kuna sehemu nmejimislead maPGO wenzangu watanilead[emoji23][emoji23].

Nawasilisha.
 
Duuuh maprocess[emoji119][emoji119][emoji119], PSRS affidavit si wanakubal au?
 
Kwahyo ukienda na affidavit inayohusu psrs wanaikataa ?
 
wadau naomba mnieleweshe, kama umefanya interview kwenye taasisi za vyuo vikuu kama udom,udsm nk nakufaulu ila ukakosa nafasi.je kuna uwezekano wa kuwekwa kwenye database ya utumishi?.
Unawekwa ndio maana bado na wenyewe wapo under PSRS .
 
Mm pia ndo nnavojua,yangu haijaspecify wapi na wapi,iko general. Labda wamebadlisha hivi karbun
Mmh hamna sidhani kiapo ni kile kile kuhusu kukataa au kuikubali sijajua maana hadi sasa majibu 50 /50 hadi kwa jamaa niliouliza

Maana kiapo kinakubali majina yako kama kwenye moja ya cheti kuna ka utofauti

Ila dead poll unachagua moja

DEAD pol ukipata ajira ndio unatakiwa uhiwasilishe sio affidavit tena
 
Nasubr jibu
Wanakubali inategemea, mimi kwa experience yangu, siku ya kwanza naenda kufanya interview pale DUCE nlikuwa na rafiki angu, yeye majina kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho yalikuwa tofauti, na affidavit to address that alikuwa nayo, but yule baba aligoma kabisa, alimwambia akaandae deed poll, but the other day tumeenda Dodoma, the other friend of mine alikuwa na affidavit akakubaliwa. Hapa ninachoona inategemea na wakaguzi, maana hiyo hiyo siku kuna rafiki angu mwingine hakuwa na vyeti original alisahau vyeti Dar, tukatoa copy soft copies alizokuwa nazo na kucertify yaani ilikuwa kama tunabet na maajabu akakubaliwa. Ambapo wengi wao wasingekubali ata kidogo, scenario nyingine hizi interview za NAOT na MDA, kuna rafik angu kafanya usaili akitumia kitambulisho cha uwakili, akuzinguliwa popote, kwa hiyo na NAOT akarelax hakutafuta barua, ila NAOT alikataliwa katakata na vilio juu ila waligoma.
Kwa hiyo haya maswala naona yanategemea na huruma za wasimamizi.
 
Back
Top Bottom