Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu, acha kulaza damu weka kwanza ushuhuda wa status kwanza ili nilale vizuri.. inasemaje huko.
Usiponijibu utanionea sana mkuu nipe ushuhuda huko uvunguni kwako kwa status nijue
Wale wa status ni Selected for Oral kwenye web na kwenye App ni selected for Null.
Ilianza selected for oral kwenye web baadae ikabadilika kuwa shortilisted then ikarudi kuwa Selected for Oral.
 
Wale wa status ni Selected for Oral kwenye web na kwenye App ni selected for Null.
Ilianza selected for oral kwenye web baadae ikabadilika kuwa shortilisted then ikarudi kuwa Selected for Oral.
Ok.. hapa nimekusoma.. kumbe inabadilika na kuwa "Shortlisted"
Hyo shortlisted inakuwa for All au nn.. hapa Nazungumzia kwenye web tu ndo nataka.

Na kwa kuwa oral ulifanya mwezi wa 10 mwisho hayo mabadiliko ya kutoka selected for Oral Kuja Shortlisted uliyaona lini..?
 
Wale wa status ni Selected for Oral kwenye web na kwenye App ni selected for Null.
Ilianza selected for oral kwenye web baadae ikabadilika kuwa shortilisted then ikarudi kuwa Selected for Oral.
Bado sio sababu mzee.

Mimi nimepitia mabadiliko kama hayo lkn wapi sijachomoka.

I repeat "one man down"..

Bado pdf moja tu naisubiria ni conclude theories zangu
 
Naombeni kuuliza, ikitokea utofauti wa jina la cheti cha kuzaliwa likatofautiana herufi moja mfano kwenye cheti cha luzaliwa kuna Jacksoni halafu vya taaruma Jackson.
Je kuna shida yoyote!?
 
Finally I made it!

Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion

Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.

Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.

Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.

PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.

Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.

Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.

Join me in celebrating this remarkable history!!
 
Naombeni kuuliza, ikitokea utofauti wa jina la cheti cha kuzaliwa likatofautiana herufi moja mfano kwenye cheti cha luzaliwa kuna Jacksoni halafu vya taaruma Jackson.
Je kuna shida yoyote!?

Habari mkuu,

Kuna wadau wameuliza maswali kama hayo, rejea posts za nyuma kuanzia #14920 utapata majibu yote kuhusiana na tofauti ya majina kwnye vyeti.

Majibu yametolewa na wanasheria wabobezi wa uzi uzi huu akiwemo madam Maryjuan .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…