Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahaaa worry out broo.

App ilikuwa selected for null.

Kwenye website after oral goma likasoma SHORTLISTED plain kama wiki ivi then likaja "SELECTED FOR" Tukaishi nayo hiyo mpaka umauti ukatukuta...
""Selected for"" or selected for oral.

Mimi navo amini kaka ni kwamba ukiona una "' selected for null ujue umepiga fresh oral but kuna wenzio walikua bora kuliko wew kama hujapata nao walikuwa na selected for null""" kikubwa nikupiga interview mpya na kusubir database kama una selected for null kama kada yako itabahatika kutoa nafasi nyingi mwaka huu huenda ukatoka database. Lakini pia usikate tamaa subir io pdf nyingine bro.
 
Finally I made it!

Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion

Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.

Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.

Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.

PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.

Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.

Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.

Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera sana Mkuu MUNGU NI MWEMA SANA
 
Mkuu, mbona automatic nimejikuta nimefurahi tu kusoma hii interesting and encouraging msg,,,, congratulation for made it you deserve it ...nimefurahi just km nimekuwa wewe ,,,, lets join for celebration.....
 
Finally I made it!

Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion

Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.

Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.

Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.

PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.

Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.

Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.

Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera sanaaaaa kaka hongeraaaa
 
Very Interesting story na ikawe kheri mkuu.

Binafsi nimefurahi sana mkuu kuingia kwenye mrija BIG Congrats Man.
 
""Selected for"" or selected for oral.

Mimi navo amini kaka ni kwamba ukiona una "' selected for null ujue umepiga fresh oral but kuna wenzio walikua bora kuliko wew kama hujapata nao walikuwa na selected for null""" kikubwa nikupiga interview mpya na kusubir database kama una selected for null kama kada yako itabahatika kutoa nafasi nyingi mwaka huu huenda ukatoka database. Lakini pia usikate tamaa subir io pdf nyingine bro.
Tuombe mungu mzee..ngoja nisubirie pdf ya mwisho ambayo status yake haijabadilika hata(that's weird though).

Baada ya hapo nikite mizizi kwa mhindi kwa nguvu zote ado mwaka ukate kwanza.

Kupanga ni kuchagua mzee.ni vile tu hatuna imani vijana
 
Finally I made it!

Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion

Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.

Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.

Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.

PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.

Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.

Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.

Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera sana kaka,

Ukawe mtumishi mwenye weledi na maadili mazuri kwani kuupata huo mrija umepambana ndugu.

Hard work pays bro!🙏🏿🙏🏿💯💯
 
Finally I made it!

Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion

Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.

Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.

Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.

PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.

Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.

Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.

Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera sana broo! Bimafsi

Hongera sana broo! Binafsi nafurahi kuona shuhuda hizi....how do you feel now?
 
Huyu mwambaa hakika anastahili, sijui kama atalala siku 3 hizi, lbda akishika barua ya ajira 🤣🤣🤣🤣 watu tunafurah sana humu kwenye uzii coz umegusaaa maishaa ya wengi humu na wwngine usio wajua kwa mara nyingine tenaaaa hongeraaaa sanaaa kaka.
 
Finally I made it!

Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion

Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.

Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.

Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.

PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.

Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.

Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.

Join me in celebrating this remarkable history!!
Congratulations kaka, am so happy happy for you. Mungu ni mwema sana[emoji1431]
 
Dah kaka acha tu nifunguke ki ukweli sikuji wala hunijui zaidi ya sisi sote kukutana kwa comment za Jf tu

Lakini ukweli ni kwamba sijawahi acha kukuombea kwa Mungu upate mafanikio katika vita hii tangu nilipo anza kuziona comment zako humu

Zimetupa nguvu wengi sana hasa mimi

Amini hapa nilipo ninafuraha sana kuona kua nawe upo kwenye kundi la walio chaguliwa kujiunga na utumishi

Nakuomba sana kaka usitukimbie humu Jf wala hili jukwaa uwepo wako ni muhimu kuliko unavyo fikiria. Ni mtu unaetoa hoja kwa evidence kiasi kwamba ilikuwa rahisi kueleweka katika majibu yako

Mara nyingi mimi humu ni msoma comment tu ila kila siku huwa lazima niingie nipate darasa huru lenye manufaa na faida.

Naomba kawe mtumishi mwema kama ulivyo onesha wema wako humu.

Mwisho. Nawatakia kheri nyote mlio fanikiwa hili na kazi njema huko muendako.
 
Finally I made it!

Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion

Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.

Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.

Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.

PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.

Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.

Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.

Join me in celebrating this remarkable history!!
Waouh hongera sana mshikaji wangu,hakika wakati wa mungu niwakati sahihi
 
Back
Top Bottom