Huu mwaka ni wetu kama ArsenalAhsante sana mkuu, ile feeling uliyoipata hatimaye imenipata na mimi[emoji3]
Ahsante sana mkuu.Kaka hongera sana hongera sana hongera sana wakati wa Mungu ni wakati sahihi Mungu alikuandalia mahali panapokufaa.
Tuombee na sisi siku moja tutoe ushuhuda kama huu.
Upande wangu updates zote za mikando ilikuwa hapa, sijui kwa wengine.Wazee naomba mnidhibitishie kama utumishi hakuna mambo ya connection
Ahsante sana mkuuHongera sana mwifa ikawe kheri kwako....
Hongera sana bro, You deserve it.. Umekuwa msaada sana kwa wengi humu ndani.. Kila la heri katika safari mpya ya utumishi.Finally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Tulikuwa 6, nafasi moja.Hongera sana mkuu, wakati wa Mungu ndo wakati sahihi.
Naomba mrejesho, oral mlikua wangapi na nafasi zilikua ngapi?
Safi, kuwa top 6 sio mchezo.Tulikuwa 6, nafasi moja.
Kwenye hao 6, mmoja alipata taasisi nyingine ambayo mimi sikufika oral, nilikuja kujua baada ya placement yao kutoka December mwanzoni mwaka jana kuwa kumbe alifika oral kwenye ule mkando.
Hahahahaa.Huu mwaka ni wetu kama Arsenal
hongera sana DrFinally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Ahsante sana mkuuHongera sana bro, You deserve it.. Umekuwa msaada sana kwa wengi humu ndani.. Kila la heri katika safari mpya ya utumishi.
Peke yangu, kuhusu data base hatuwezi kujua hadi pdf ya database itoke ndipo tutajua na wengine kama walifaulu, hata hivyo najua walifaulu ila suala la kuzidiana alama ndio limechukua mkondo wakeSafi, kuwa top 6 sio mchezo.
Wamekuchukua pekeako au na wengine?
Ahsante sana mkuuhongera sana Dr
Mungu ni mwema sana
Nashukuru sana kaka kwa kuniombea kiukweli ndo tumaini pekee nililonalo naomba Mungu niwe kati ya watakaoteuliwa naimani wote tunastahili kupata.Ahsante sana mkuu.
Nina imani ifikapo April utafurahia kama sisi hapa, ile nafasi TRA utapata, Muumba kakuandalia maana ile siku unakwama njiani haikuwa riziki yako ila hii ya TRA ukapita hadi oral bila vikwazo sana.
Tuzidi kuombeana kwa kila hatua
Afadhali basi wote tutapata .Upande wangu updates zote za mikando ilikuwa hapa, sijui kwa wengine.
Jamaa zangu wote wa karibu ikiwemo classmates tumepata nafasi kwa kupambana sana.
Tumefanya written kadhaa, tukakandwa hadi akili zikawa sugu hatimaye tukawakanda
Mkuu oral yako ulijibu maswali na points zao zote, au ilikuaje kuaje hebu narrate kidg, tupate kudonoadonoa....Peke yangu, kuhusu data base hatuwezi kujua hadi pdf ya database itoke ndipo tutajua na wengine kama walifaulu, hata hivyo najua walifaulu ila suala la kuzidiana alama ndio limechukua mkondo wake
Nilingia kwenye chumba cha wakandaji nikiwa nimevaa kadeti, shati na koti langu vizuri kabisa. Nilipoingia tu ndani nikawasalimia wakandaji wakaitikia then mmoja akasema karibu kiti.>>>>Uzoefu wangu wa Oral<<<<<<>
>>Shughuli inaanza naambiwa nieleze my historical and education background mwamba nilikuwa nimejiandaa zaidi na tell us about my self. Hofu ikachukua nafasi nikaanza kujibu kwa woga hata sauti haitoki vizuri ila nikapambana mpaka nikamaliza kuelezea.
>>>>Swali lapili nilijibu kwa kujiamini sana maana niliona kabisa nisipokuwa makini nachezea ndoige. Niliambiwa kumention tu.
Nilitumia muda mfupi sana nimetoka wadau wanashangaa mbona mapema sana nadhani walijua nimefukuzwa mle ndani😂😂>>Swali la tatu nilishindwa kabisa kujibu mim sio muumini wa kuacha swali lakin hapa nilikwama niliambiwa kuelezea viterminology fulani, load lakini wapi nikawaambia sikumbuki twende swali jingine.
>>>Swali nne nikambiwa kumention five points bahati nzuri hili nilikuwa nalijua hata wangesema point 8 sawa. Nilijibu kwa kujiamini sana.
>Swali 5 nikajibu ni mwendo wa kumention tu ila sikuwa na uhakika wa majibu yangu. Baada hapo wakasema usaili umeisha wakanitakia safari njema na mim nikawatakia ukandaji mwema.
1. Usikate tamaa jipe moyo ipo siku utatoboa bahati huwapata wale wanaojaribu.>>>Ushauri wangu kwa Wasaka mrija wa asali.
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wote wa uzi huu (Mwifa, Wizy a.k.a Wkingz mzee wa status😂😂 na wengine wote) kwa michango yenu .>>>>>>>>>>>Shukrani<<<<<<<<
Afu inaonekana wanaotoboa sana wanakua waneoa au wana watotoHabari za leo Wakuu.
Jana niliahidi kuleta mrejesho.
Nilifanya written Interview nane ,saba zote sikufika hata oral zote nilikuwa napata namba za viatu , yanane nikafika oral na ndo hii niliyopata placement.
Nilingia kwenye chumba cha wakandaji nikiwa nimevaa kadeti, shati na koti langu vizuri kabisa. Nilipoingia tu ndani nikawasalimia wakandaji wakaitikia then mmoja akasema karibu kiti.
Nilitumia muda mfupi sana nimetoka wadau wanashangaa mbona mapema sana nadhani walijua nimefukuzwa mle ndani[emoji23][emoji23]
Baada ya hapo nilijiona mjinga sana maana nimeshindwa kujibu swali moja. Hamu ya kula ilikata kabisa niliona kama nimepoteza nafasi lakin Mungu ndo alijua.
Nimejifunza ili ufanikiwe lazima upite mambo magumu( Rejea wimbo wa Christina Shusho-Dhahabu)
1. Usikate tamaa jipe moyo ipo siku utatoboa bahati huwapata wale wanaojaribu.
2. Ukiitwa kwenye usaili fanya maandalizi haswa. Piga msuli yatima haswa pitia job descriptions zifuatilie moja baada ya nyingine. Saili nyingi za nyuma nilikuwa sijindai vizuri pia nilikuwa sifuatili trends za maswali. Unakuta unasoma research kumbe wameshaacha kutoa research.
3. Omba Mungu yeye ndo anajua ni lini atakupa.
4. Usibanduke kwenye huu Uzi. Jamii forums ni kila kitu imagine nimeanza kufuatilia huu uzi mwezi wa 10 nikapata hints kibao nikafufua matumani , mwezi wa 10 huo huo nikatoboa oral kwa mara ya kwanza. Hata uwe kipanga au kenge namna gani bila kujua trends na namna ya kujibu maswali kutoboa ningumu.
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wote wa uzi huu (Mwifa, Wizy a.k.a Wkingz mzee wa status[emoji23][emoji23] na wengine wote) kwa michango yenu .
N.B: Mtoto wa masikini kabisa ametoboa bila connection acha kulalamika inawezekana.
Nilivyofurahi mimi wife amefurahi mara 10 yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo wife amekupa yote boss haha hah hahaHabari za leo Wakuu.
Jana niliahidi kuleta mrejesho.
Nilifanya written Interview nane ,saba zote sikufika hata oral zote nilikuwa napata namba za viatu , yanane nikafika oral na ndo hii niliyopata placement.
Nilingia kwenye chumba cha wakandaji nikiwa nimevaa kadeti, shati na koti langu vizuri kabisa. Nilipoingia tu ndani nikawasalimia wakandaji wakaitikia then mmoja akasema karibu kiti.
Nilitumia muda mfupi sana nimetoka wadau wanashangaa mbona mapema sana nadhani walijua nimefukuzwa mle ndani😂😂
Baada ya hapo nilijiona mjinga sana maana nimeshindwa kujibu swali moja. Hamu ya kula ilikata kabisa niliona kama nimepoteza nafasi lakin Mungu ndo alijua.
Nimejifunza ili ufanikiwe lazima upite mambo magumu( Rejea wimbo wa Christina Shusho-Dhahabu)
1. Usikate tamaa jipe moyo ipo siku utatoboa bahati huwapata wale wanaojaribu.
2. Ukiitwa kwenye usaili fanya maandalizi haswa. Piga msuli yatima haswa pitia job descriptions zifuatilie moja baada ya nyingine. Saili nyingi za nyuma nilikuwa sijindai vizuri pia nilikuwa sifuatili trends za maswali. Unakuta unasoma research kumbe wameshaacha kutoa research.
3. Omba Mungu yeye ndo anajua ni lini atakupa.
4. Usibanduke kwenye huu Uzi. Jamii forums ni kila kitu imagine nimeanza kufuatilia huu uzi mwezi wa 10 nikapata hints kibao nikafufua matumani , mwezi wa 10 huo huo nikatoboa oral kwa mara ya kwanza. Hata uwe kipanga au kenge namna gani bila kujua trends na namna ya kujibu maswali kutoboa ningumu.
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wote wa uzi huu (Mwifa, Wizy a.k.a Wkingz mzee wa status😂😂 na wengine wote) kwa michango yenu .
N.B: Mtoto wa masikini kabisa ametoboa bila connection acha kulalamika inawezekana.
Nilivyofurahi mimi wife amefurahi mara 10 yake🤣🤣🤣