yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Hazna maana hzo subr pdfyangu ipo ivi nasbir placement. sijui nitakandwa au nmepita. ata sielewiView attachment 2475766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazna maana hzo subr pdfyangu ipo ivi nasbir placement. sijui nitakandwa au nmepita. ata sielewiView attachment 2475766
okayHazna maana hzo subr pdf
Lakin seems like umepata[emoji848],hongera in advance[emoji2]okay
haijawai badilika, ipogo hivohivo imeganda tu. mnanipa presha mkisema inatakiwa ibadilike iwe shortlisted[emoji16][emoji1787]Lakin seems like umepata[emoji848],hongera in advance[emoji2]
Hahahaha Unasoma nin tupe dondoo za Trade Officer tukawakandeJaman yataka moyo,mm ni wa kuamka usku na kusoma mm dah hata shule skufanyaga hivi[emoji3]
Hongera sana mkuuNami Mungu ameniona NAOT nilimaliza chuo tangu 2016,nilikuwa na oral moja tu hiyo zote sifiki oral ya juzi tra ndo niliumia zaidi ,kumbe Mungu bado mwema na mwaminifu,Ni maombi yangu Mungu awakumbuke nanyi pia.
Hongera sana mkuu.Tayari mkuu, placement yangu pekee niliyofika oral ndio imenipa furaha hii
Hongera sana Mwifwa hakika Mwenyezi Mungu amekupa kile ulichostahili. Furaha niliyopata juu ya makuu yaliyotendeka juu yako it's like kama tulikuwa tunafahamihana. Hakika kijana uligusa maisha ya kila mtu kwa namna ya kipekee. I wish you nothing but the best of lucky in your new journey brother.Finally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwemaFinally I made it!

Hongera sanaNami Mungu ameniona NAOT nilimaliza chuo tangu 2016,nilikuwa na oral moja tu hiyo zote sifiki oral ya juzi tra ndo niliumia zaidi ,kumbe Mungu bado mwema na mwaminifu,Ni maombi yangu Mungu awakumbuke nanyi pia.
Hongera saana kaka Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapyaFinally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Utachukua sana tuzo za mfanyakazi bora, una utu na hekima sijapata kuona....Tayari mkuu, placement yangu pekee niliyofika oral ndio imenipa furaha hii
Hongera binafsi nimeajiriwa nikiwa na miaka 18 tu na serikali ya JMT! ka degree nimekapatia mjengoniFinally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera sana kaka.Finally I made it!

Salamaa.!Habari mkuu,
Kuna wadau wameuliza maswali kama hayo, rejea posts za nyuma kuanzia #14920 utapata majibu yote kuhusiana na tofauti ya majina kwnye vyeti.
Majibu yametolewa na wanasheria wabobezi wa uzi uzi huu akiwemo madam Maryjuan .
Iliwahi kunitokea hii. Nilichaguliwa written ila kwenye orodha ya kuingia kufanya pepa jina halipo. Walinizungusha sana hadi mwishowe nikaruhusiwa kwa kuongeza jina kwenye orodha kwa kalamu. Majibu ya ile pepa yalivyotoka still jina halikuwepo. Nilipiga simu nikajibiwa wanalifanyia kazi hadi siku ya oral najibiwa kuwa sikufaulu.Kwa aliyetatua hili tatizo? Namba ya juu hiyo inaisha na 03, sijaonekana kwenye list ya kanda zote za pepa na ndiyo ina matumaini kibao.
Hiyo ya chini ipo poa.
Sekretarieti ya Ajira naomba msaada niongezwe kwenye mkeka wa kanda yangu.
View attachment 2475377
Duh vitu vingine viko nje ya uwezo wetu ni kuomba sana Mungu.Iliwahi kunitokea hii. Nilichaguliwa written ila kwenye orodha ya kuingia kufanya pepa jina halipo. Walinizungusha sana hadi mwishowe nikaruhusiwa kwa kuongeza jina kwenye orodha kwa kalamu. Majibu ya ile pepa yalivyotoka still jina halikuwepo. Nilipiga simu nikajibiwa wanalifanyia kazi hadi siku ya oral najibiwa kuwa sikufaulu.
Ninachoamini ile pepa haikuwa marked
Hongera sana mpambanaji.Hakika Mungu ni mwema sana.Finally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Naona mkuu umeamua uscreeshot kabisa... 😂😂😂yangu ipo ivi nasbir placement. sijui nitakandwa au nmepita. ata sielewiView attachment 2475766