Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Usijali mkuu chukulia kawaida tuKitu ambacho huwa na wish kuwa mngejua ukweli mm sio wizy. okay may b siku mungu akiaamua ataleta uthibitisho ku prove ilo. Kwa sasa lipo nje ya uwezo wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu chukulia kawaida tuKitu ambacho huwa na wish kuwa mngejua ukweli mm sio wizy. okay may b siku mungu akiaamua ataleta uthibitisho ku prove ilo. Kwa sasa lipo nje ya uwezo wangu.
Mkuu Ahsante sana, Mungu ni mwema wakati wote.KATIKA SIKU AMBAZO NIMEKUWA NA FURAHA KUBWA NI KUONA KAKA YANGU Mwifwa UMETIMIZI KAZI ULIYOIANZA SALAMA NA KUFANIKIWA KUPATA NAFASI.
Nimejifunza mengi kupitia wewe na Nimeamini vingi kupitia wewe, ujitoaji wako, uthubutu, wema wako na ukarimu hakika haujakutupa.
Mungu aendelee kutusaidia na sisi tuingie kwenye mrija ili tuungane wote kwenye tabasamu murua la utumishi wa umma.
Ukitenda wema na kujitoa kwa watu, hakika Mungu anakutoa like bora zaidi. [emoji3590]🫂[emoji120].
Ahsante sana mkuu, Tuendelee kuombeana na kupambana ili wote tuweze kutimiza ndoto zetuHongera sasa jombaaa mungu kukupa mrija wa asali tena asali kweli maana naot sio mchezo. Kada yenu post ilikua moja ila wameita zaidi ya moja
Hongera sana mkuu.Kwa kweli Hatimaye Placement Nilio isubiri imefika itoshe tu kusema utumishi nimewanyoosha
Ahsante sana mkuuHongera sana mkuu
> View Timetable
Ahsanthe Sana Kiongozi kwa ufafanuzi mzuri ulioshiba,,,,Nina imani wote humu ni washindiUnapofanya usahili wa kuandika na kufaulu ktk stutus yako utaandikiwa "SELECTED FOR oral" ya kijani.
Baada ya kufanya oral na kupata alama zinazotakiwa utaandikiwa kulingana na ufaulu. Kama umefaulu inavyotakiwa na baada ya process kadhaa kufanyika utaandikiwa "SELECTED" ya kijani 'for oral na maneno mengine yatabaki black color.
Ikiwa utaandikiwa 'SHORTLISTED' then SELECTED FOR oral, maana yake na wewe ulifaulu passmark zinazotakiwa ila utalinganishwa na wale waliopo kanzi data/mliolingana passmark hivyo 'vigezo vya ziada' vinatumika kuchambua nani apate kazi na nani aachwe kwenye kanzi data.
Kwenye App "SELECTED FOR null" ni kwa wale wote waliopata passmark stahili za kupata kazi au kanzi data kulingana na ushindani wa kada husika. Ikiwa "NOT SELECTED FOR null" hapa muhusika amefeli oral moja kwa moja na kanzi data hayupo.
Wenye mabadiliko hayo wote Wana asilimia kubwa ya kupata Kazi na asilimia ya kutopata na kubakia kanzi data.
Endeleeni kupambana vijana, hamna upendeleo.
Hiyo ingawaje hujaiangaliaga mara kwa mara ila ilibadilika ulikuwa shirtlisted then selected for oral 😂😂😂Wale waumini wa Status, status yangu inasomeka hivi(nimeikopy kwenye web)
SELECTED FOR Oral InterviewInterview No:
PSRS/22/4136/033
Employer: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
aisee tuzidi kupeana moyo na kumuomba mungu,hakika siku yetu itafikaNilishawahi ongea hapo nyuma Barua zipo nyingi masijala za placement na watu kutokea kanzi data 2022 ni suala la muda tu
tutakutana tena itakuwa soon inshaallahAhsante sana, ila nasikitika tumeendelea kupishana sana[emoji3][emoji3], nilizani tutakutanishwa na hawa wakandaji hatimaye naona haitowezekana
AliliiiiiiiiiiiiiiKwa kweli Hatimaye Placement Nilio isubiri imefika itoshe tu kusema utumishi nimewanyoosha
Aweeeee tupe moyo baba nasi tukiendelea kusubiri siku yetuUnapofanya usahili wa kuandika na kufaulu ktk stutus yako utaandikiwa "SELECTED FOR oral" ya kijani.
Baada ya kufanya oral na kupata alama zinazotakiwa utaandikiwa kulingana na ufaulu. Kama umefaulu inavyotakiwa na baada ya process kadhaa kufanyika utaandikiwa "SELECTED" ya kijani 'for oral na maneno mengine yatabaki black color.
Ikiwa utaandikiwa 'SHORTLISTED' then SELECTED FOR oral, maana yake na wewe ulifaulu passmark zinazotakiwa ila utalinganishwa na wale waliopo kanzi data/mliolingana passmark hivyo 'vigezo vya ziada' vinatumika kuchambua nani apate kazi na nani aachwe kwenye kanzi data.
Kwenye App "SELECTED FOR null" ni kwa wale wote waliopata passmark stahili za kupata kazi au kanzi data kulingana na ushindani wa kada husika. Ikiwa "NOT SELECTED FOR null" hapa muhusika amefeli oral moja kwa moja na kanzi data hayupo.
Wenye mabadiliko hayo wote Wana asilimia kubwa ya kupata Kazi na asilimia ya kutopata na kubakia kanzi data.
Endeleeni kupambana vijana, hamna upendeleo.
Hongera sanaAsante Mungu, nimetoboa.
Mungu mkubwa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mungu mkubwa.
Dah had nimelia,hongera sana mwifa,am so so sooo happy for u. Wewe ni ushuhuda unaoishi,Mungu akutangulie dear kwenye majukum yako mapya.Finally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Hongera mkuuNami Mungu ameniona NAOT nilimaliza chuo tangu 2016,nilikuwa na oral moja tu hiyo zote sifiki oral ya juzi tra ndo niliumia zaidi ,kumbe Mungu bado mwema na mwaminifu,Ni maombi yangu Mungu awakumbuke nanyi pia.
Asante mkuuHongera mkuu
Usingiz umekata kwa furaha sio[emoji3]Asante mkuu
yangu ipo ivi nasbir placement. sijui nitakandwa au nmepita. ata sielewiUnapofanya usahili wa kuandika na kufaulu ktk stutus yako utaandikiwa "SELECTED FOR oral" ya kijani.