Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nami Mungu ameniona NAOT nilimaliza chuo tangu 2016,nilikuwa na oral moja tu hiyo zote sifiki oral ya juzi tra ndo niliumia zaidi ,kumbe Mungu bado mwema na mwaminifu,Ni maombi yangu Mungu awakumbuke nanyi pia.
Kukosa kazi TRA inauma sana asikwambie mtu, NAOT ni kama halmashauri tu utaanza na 700k tu, ila unaweza kupata Posho za ukaguzi.
 
Hongera sanaa kaka, hakika haikuwa vita nyepesi, na umeipigana bila kurudi nyuma kufanya written 8 sio mchezo. Its ur time enjoy ur hustle.
 
Upendeleo haukosekani
 
Hongereni wote mliopata. Na kwa ambao hawajapata hakika tusikate tamaa, kauli mbiu yetu ni ileile kama huna mrija wa asali "" you just have to show up"" mbaka uupate, nikujiandaa nakutokea kwenye interview zote, mpaka tutapo wakandaa, ni kutokea kila interview mpaka ifike mahali wakandaji wakikuona wajue majina yako yote 3😥😥.
 
Hakika ww utakuwa mkandaji sio bureee, kuna kitu kipya tumepata hapa"" kuna selected for oral za aina 2""

Ya kwanza amabyo yote ni ya kijani after written.

Na ya pili ambayo ni only "" selected"" ndo kijani the rest words are black in colour. Baada ya oral.

Ambaye amawai kuiona "" selected for oral ya kijani after written""" please share with us picha, so we can differentiate the two.
 
Ila we mwamba🤣🤣🤣🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…