Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu tunashukuru sana kwa tge good narration tunatamani kuona nyote mliopata kazi, muje na narration ya aina hii,
Kiukweli sometimes mtu ukitoka oral mule huwa nguvu zote zinaisha na unajihisi hujui kitu na hakuna ulichojibu lkn kumbe ndio ilikuwa ridhiki hiyo, kupitia humu tunashukuru tunapata moyo na kuona tulioyapitia sio ss wa kwanza au mwisho,,,
Mungu atusaidie tunaosubiria placement next nasi tuwemo tuje tushushe shuhuda...ameeen
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mungu ni Mwema mkuu hongera sana pia Allah amtupi mja wake umepambana na umepewa hio nafas nakuombea iwe yenye manufaa kwenye maisha yako
 
Hapa inabidi tupate mrejesho kwa wale ambao bahati mbaya walikosa nafasi za placement, kama unawajua watag watupe feedback[emoji3]
 
Hapa inabidi tupate mrejesho kwa wale ambao bahati mbaya walikosa nafasi za placement, kama unawajua watag watupe feedback[emoji3]
Yap kweli kaka, ila aina haja ya kuwa tag mtu ataye kua na utayar ata share.
Hasaa yule ambaye kafauru written status yake ndo muhimu ile ya "" selected for oral ili tuone io kijani"" na sio mbaya ata kwa aliekosa placement aka share picha yake ya "" selected for oral"" huenda kuna utofauti.
 
ivi kuna " selected for oral " ya rangi ya kijani yote?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Presha inapanda presha inashuka.Si unajua tena kusubiri placements kulivyo.....Unatamani ujue tu kama upo au haumo mapambano yaendelee.
Tena kama ulifanya Oral mwezi wa 11 pdf liko njia.. mwezi huu zote zitatoka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…