mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Tabiri ipi itaanza Hapoπ₯πππOk.. taasisi tunazozitarajia ni November kama ifuatavyo:-HESLB,MDS' & LGA's hapa Kuna na wale wanasheria pia, OUT, SUA(Non teaching).
ASA, TARI, WIZARA YA KILIMO (TUTORS)- hizi zilifanyila December mwanzoni kabisa
Asante sanahongera sana
Hongera sana mkuuTulikuwa 6, nafasi moja.
Kwenye hao 6, mmoja alipata taasisi nyingine ambayo mimi sikufika oral, nilikuja kujua baada ya placement yao kutoka December mwanzoni mwaka jana kuwa kumbe alifika oral kwenye ule mkando.
Hongera sana, nimefurahiiiAsante Mungu, nimetoboa.
Mungu mkubwa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mungu mkubwa.
Nimefanya RUWASA 28th NovOk.. taasisi tunazozitarajia ni November kama ifuatavyo:-HESLB,MDS' & LGA's hapa Kuna na wale wanasheria pia, OUT, SUA(Non teaching).
ASA, TARI, WIZARA YA KILIMO (TUTORS)- hizi zilifanyila December mwanzoni kabisa
Hongera sana kaka, hakika tumefurahi aisee... Umetupa moyo wengi hatimae na wewe unaenda kulamba asali hakika ni furaha iliojeFinally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Kaka huwezi para usingizi hongera sanaaaaaaaSasa ndio nimejua kwa nini akina Ahmet meck pro baraka amos Cvez walikuwa na furaha na hawakupata usingizi
Kulikuwa na madereva pia nadhani...hiyo tareheNimefanya RUWASA 28th Nov
Mimi hata mchumba sinaAfu inaonekana wanaotoboa sana wanakua waneoa au wana watoto
Na ulitoboa?Mimi hata mchumba sina
Ndio kakaNa ulitoboa?
Ipo vile vile au Kuna mabadiliko?Wale wa OSG ofisi ya wakili mkuu wa serikali PDF yao imerudishwa tayari
Kwa wife nahisi utatafuta mwingine wa type yako!!!ππππππππHabari za leo Wakuu.
Jana niliahidi kuleta mrejesho.
Nilifanya written Interview nane ,saba zote sikufika hata oral zote nilikuwa napata namba za viatu , yanane nikafika oral na ndo hii niliyopata placement.
Nilingia kwenye chumba cha wakandaji nikiwa nimevaa kadeti, shati na koti langu vizuri kabisa. Nilipoingia tu ndani nikawasalimia wakandaji wakaitikia then mmoja akasema karibu kiti.
Nilitumia muda mfupi sana nimetoka wadau wanashangaa mbona mapema sana nadhani walijua nimefukuzwa mle ndaniππ
Baada ya hapo nilijiona mjinga sana maana nimeshindwa kujibu swali moja. Hamu ya kula ilikata kabisa niliona kama nimepoteza nafasi lakin Mungu ndo alijua.
Nimejifunza ili ufanikiwe lazima upite mambo magumu( Rejea wimbo wa Christina Shusho-Dhahabu)
1. Usikate tamaa jipe moyo ipo siku utatoboa bahati huwapata wale wanaojaribu.
2. Ukiitwa kwenye usaili fanya maandalizi haswa. Piga msuli yatima haswa pitia job descriptions zifuatilie moja baada ya nyingine. Saili nyingi za nyuma nilikuwa sijindai vizuri pia nilikuwa sifuatili trends za maswali. Unakuta unasoma research kumbe wameshaacha kutoa research.
3. Omba Mungu yeye ndo anajua ni lini atakupa.
4. Usibanduke kwenye huu Uzi. Jamii forums ni kila kitu imagine nimeanza kufuatilia huu uzi mwezi wa 10 nikapata hints kibao nikafufua matumani , mwezi wa 10 huo huo nikatoboa oral kwa mara ya kwanza. Hata uwe kipanga au kenge namna gani bila kujua trends na namna ya kujibu maswali kutoboa ningumu.
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wote wa uzi huu (Mwifa, Wizy a.k.a Wkingz mzee wa statusππ na wengine wote) kwa michango yenu .
N.B: Mtoto wa masikini kabisa ametoboa bila connection acha kulalamika inawezekana.
Nilivyofurahi mimi wife amefurahi mara 10 yakeπ€£π€£π€£
Wengi sana wamelamba asali lakini JIULIZE, kwanini wengi wamefurahi juu yako?......inafanya kaz nzuriDaaahh, ila huwa mnani overate sana humu lakini najiona sistahili haya.
Tudhidi kuombeana kila la kheri kwa kila jambo
Hahahaha hapana mkuu tusiwasahau tulio hangaika nao kwenye shida mkuu.K
Kwa wife nahisi utatafuta mwingine wa type yako!!!ππππππππ
Hakuna mabadiliko.Ipo vile vile au Kuna mabadiliko?