Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Sijui ila nadhani hao 9 kuna wale walichukuliwa AGC na OSG watu 36....wote wametoka mule mule kwa wasailiwa wale wale nje ya nafasi za wanasheria wa MDA & LGA.°Kuna dalili ya Uonevu NPS walisema nafasi ni 82 ila wamechukua 73, hao 9 wameenda wapi? Au washachomekwa.
°kuna uwezekani mkubwa ukawa umeonewa kwenye ORAL
Ufafanuzi mzuriSijui ila nadhani hao 9 kuna wale walichukuliwa AGC na OSG watu 36....wote wametoka mule mule kwa wasailiwa wale wale nje ya nafasi za wanasheria wa MDA & LGA.
So utaona kama OSG kachukua watu 36, AGC watu 8 na NPS 73 then total number inazidi idadi ya nafasi walizotangaza.
Post gani Mkuu?Nimefanya RUWASA 28th Nov
Hakika Mungu atawasaidia nanyi mtalamba asali, upo fani gani mkuuyani namuomba sana mungu huu mwaka uwe wa mafanikio kwangu jaman
Hongera sanaa mkuuNiilikuwa nimeshaanza pitiwa na usingizi nimeshtuka naingia nakuta shangwe za Mwafwa Daah usingizi umesha nimefurahi mno yani hongera sana ni kati ya wadau ambao hamtasahaulika katika uzi huu nakuombea mno kijana mungu akutangulie nasisi tupo njiani tunakuja kuchukuwa barua suti zinamalizikia kukauka,,,,nashindwa hata niandike nini ila nimefurahi mno
Mabadiliko ni kumbukumbu namba ya barua tuuIpo vile vile au Kuna mabadiliko?
Nilijua Kuna majina yameongezwaMabadiliko ni kumbukumbu namba ya barua tuu
Hawajaongeza mtu aseeNilijua Kuna majina yameongezwa
Hongera sana Mkuu, we ni mtu humble sana.Finally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Land SurveyorPost gani Mkuu?
Hongera Ndugu yangu Mungu mwema atafanya tu💪Land Surveyor
Amina mkuu..Huu mwaka ni neema ndugu zangu wa huu uzi....Hakika sote tutafanikiwa .....Ameeen
Amen[emoji120]Hongera Ndugu yangu Mungu mwema atafanya tu[emoji123]
Yaan kaka nimefarijika as if nakufaham kwa sura mzee baba😀😀, karibu sana kwenye Grid ya taifa ya asali . Hongera sana broFinally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Shukrani sana mkuuUnapofanya usahili wa kuandika na kufaulu ktk stutus yako utaandikiwa "SELECTED FOR oral" ya kijani.
Baada ya kufanya oral na kupata alama zinazotakiwa utaandikiwa kulingana na ufaulu. Kama umefaulu inavyotakiwa na baada ya process kadhaa kufanyika utaandikiwa "SELECTED" ya kijani 'for oral na maneno mengine yatabaki black color.
Ikiwa utaandikiwa 'SHORTLISTED' then SELECTED FOR oral, maana yake na wewe ulifaulu passmark zinazotakiwa ila utalinganishwa na wale waliopo kanzi data/mliolingana passmark hivyo 'vigezo vya ziada' vinatumika kuchambua nani apate kazi na nani aachwe kwenye kanzi data.
Kwenye App "SELECTED FOR null" ni kwa wale wote waliopata passmark stahili za kupata kazi au kanzi data kulingana na ushindani wa kada husika. Ikiwa "NOT SELECTED FOR null" hapa muhusika amefeli oral moja kwa moja na kanzi data hayupo.
Wenye mabadiliko hayo wote Wana asilimia kubwa ya kupata Kazi na asilimia ya kutopata na kubakia kanzi data.
Endeleeni kupambana vijana, hamna upendeleo.
Hongera sanaa mkuuNami Mungu ameniona NAOT nilimaliza chuo tangu 2016,nilikuwa na oral moja tu hiyo zote sifiki oral ya juzi tra ndo niliumia zaidi ,kumbe Mungu bado mwema na mwaminifu,Ni maombi yangu Mungu awakumbuke nanyi pia.
Pole sana kakaIliwahi kunitokea hii. Nilichaguliwa written ila kwenye orodha ya kuingia kufanya pepa jina halipo. Walinizungusha sana hadi mwishowe nikaruhusiwa kwa kuongeza jina kwenye orodha kwa kalamu. Majibu ya ile pepa yalivyotoka still jina halikuwepo. Nilipiga simu nikajibiwa wanalifanyia kazi hadi siku ya oral najibiwa kuwa sikufaulu.
Ninachoamini ile pepa haikuwa marked
[emoji23][emoji23]hamna banawahi mwenzangu