Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pole sana kaka
Maisha ndio yalivyo yana vizingiti vingi katika kufikia malengo

Soon na wewe naamini utafanikiwa tu
 
Mkuu oral yako ulijibu maswali na points zao zote, au ilikuaje kuaje hebu narrate kidg, tupate kudonoadonoa....
Nilibahatika kujibu point tano tano walizokuwa wanazitaka na maswali mengine nilijibu point zaidi ya 5 maana nature ya swali lilijumuisha majibu yenye point zaidi ya 5. Kwa hiyo mimi kwenye maswali ya hivyo nilitiririka tu hadi nilipoona point zote zimeisha ndio nikastop na wao wakanipa swali linalofuata.
 
Mfano kada ni Mchumi, soma mambo ya hiyo kada ya Uchumi, notes za darasani na notes za practise, elewa pia job description humo humo kuna maswali
 
Hongera sana wewe ni mmoja wa mfano wa vijana wapambanaji, hujawahi kukata tamaa pamoja na kukandwa sana hukôm nyuma ulikuwa mhamasishaji mzuri wa mapambano hiyo spirit yako ya mapambano o tuwe nayo wote
 
Hongera sana, ukawe mtumishi mwema.
Mungu ni mwema wakati wote!..
 
Hahahhaaa, hongera sana mkuu.

Mimi jana placement imenikuta nikiwa kwenye gari natoka kijiweni.

Nilipoona jina, fast nikamtumia Mama Junior wangu pdf halafu nikampigia moja kwa moja ili ajue.

Kufika sasa nyumbani nikakuta anarukaruka kwa furaha, yaani furaha aliyokuwa nayo ilidhidi furaha yangu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wanawake wanafurahi kwa vitendo, imagine anaruka ruka kabisa
 
Inaonekana ulikua full nondo[emoji119]
 
So mwifa ushaandika barua ya kuacha huko unakofanya,ama ndo unamute hadi process za NAOT zikamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…