JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,758
- 2,770
Status yangu hiyo. Nilipiga oral December, nasubiria muujiza.Hakika ww utakuwa mkandaji sio bureee, kuna kitu kipya tumepata hapa"" kuna selected for oral za aina 2""
Ya kwanza amabyo yote ni ya kijani after written.
Na ya pili ambayo ni only "" selected"" ndo kijani the rest words are black in colour. Baada ya oral.
Ambaye amawai kuiona "" selected for oral ya kijani after written""" please share with us picha, so we can differentiate the two.