Sonam96
Member
- Jan 29, 2019
- 45
- 155
Tupo tu tunazisubir....tutafanyaje sasaWadau Kuna mtu anasubiria Usaili UDSM humu..?
Naona Sasa ni miezi SITA hatujaitwa RECEIVED bado imeganda.
Toka July
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo tu tunazisubir....tutafanyaje sasaWadau Kuna mtu anasubiria Usaili UDSM humu..?
Naona Sasa ni miezi SITA hatujaitwa RECEIVED bado imeganda.
Toka July
Hahahahaaa, ebu tuache hizi nguvu zitumike kwenye furaha kwanza, tusizibughudhi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]na shoo jana ukapewa yakibabe kabisa
Miongozo lazima iwepo.Shukrani mkuu, itakuwa huu muongozo utakuwa upo wa kila kada sio?
Anatuandaa kisaikolojia aiseeGhafla sana jmn[emoji848]View attachment 2476626
Sawa mkuu mapambano yaendeleeAhsante sana mkuu nikipata kitengo serikalini nitafurahi sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwamba kaambiwa,,babaa kula utakavyo mimi ni wako peke yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibonde wa Psrs kaibuka mshindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante sana mkuuHongera sanaaaa
Ahsante sana mkuu, mapambano yaendeleeHongera sana wote mliolamba mrija wa asali, mmetupa nguvu sana kweli hakuna kukata tamaa
Suti unayoo????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes bado kaka, naisubir mguu mmoja ndan mwingine nje[emoji23]Hivi ile oral uliyofanya kabla ya NAOT, placement yake bado?
Usije liwa na samaki tu ama kuzama[emoji3][emoji3]Siku nikilamba asali nitashinda baharini nikipishana na samaki....
Nkikuona online najua soon utaulizia placement[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna Placement ya usiku mwema huko kama Jana?
😂😂😂😂 Hamna namna ndio kulichobaki.Mwendo wa kuomba PDF itoke vizuriNkikuona online najua soon utaulizia placement[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuombea boss[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hamna namna ndio kulichobaki.Mwendo wa kuomba PDF itoke vizuri
Msomi nakuombea uwemo kwenye mkeka wa MDA& LGANakuombea boss[emoji4]
Kada nyingine other than Accounting and finance,wanahusika zaidi na VALUE FOR MONEY AUDIT ,kwa mfano Mkaguzi anakagua ubora wa miradi ya ujenzi(Construction projects),hapo itabidi Auditor(Accountant) afanye kazi yake upande wa financials za mambo mbalimbali ya ujenzi kama uhalisia wa gharama za manunuzi ya vifaa,utoaji wa tenda n.k ambapo report yake ataikamilisha kwa kupata technical input ya report ya Engineer/Quantity Surveyor kuhusu kama jengo limejengwa kufuatana na BOQ(Bill of Quantities) ambayo ilikuwa base ya costing ya mradi,pamoja na parameters zingine za ubora wa jengoNi kweli mm pia nilienda kufanya written ya mhandisi wa maji daraja la pili(NAOT) isivyo bahati sikufanikiwa kufika kwenye oral marks hazikutosha.
Ila nilikuwa najiuliza sana hivi yani mwajiri ni ofisi ya mkaguzi wa serikali nilikuwa natarajia wangehitajika watu wa kada hizo hususani watu wa uchumi lakini posts naona zilikuwa nyingi za kada mbalimbali yani nikawa nashindwa kupata majibu kumbe Auditing ni li package kubwa sana aisee.
Hongera sana kwa hatua hiyo. ya kupata ajira.kipekee,nikupongeze kwa kuwatia moyo vijana wenzio kuwa wasichoke kupambana na kuwa-inspire kuwa wakati wa Bwana ukifika kila mtu atapata nafasiNilibahatika kujibu point tano tano walizokuwa wanazitaka na maswali mengine nilijibu point zaidi ya 5 maana nature ya swali lilijumuisha majibu yenye point zaidi ya 5. Kwa hiyo mimi kwenye maswali ya hivyo nilitiririka tu hadi nilipoona point zote zimeisha ndio nikastop na wao wakanipa swali linalofuata.
Tangu jana naomba suti hapa, hadi sasa mumenikaushiaSuti unayoo????