Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wale mliosema kuwa Mtoto wa Palamagamba Kabudi lazima awepo kwenye mkeka wa Bunge,, mbona hayupo..!!! Utumishi wanakanda yeyote yule hawaamgalii Sura[emoji16]
Nimeona pia kakandwa.

Kuna John Didas Masaburi, ni mtoto wa Kada wa CCM(Didas Masaburi)? aliyewahi kugombea ubunge jimbo la Ubungo mwaka 2015, akabwagwa na Kubenea
 
Hivi jamaa alikuwa kwenye shortlisted huyu? Nakumbuka niliona jina la mtoto wa kabudi nadhani labda akufanya au amekandwa kama sisi
Majina yalikuwa mengi sana, ameitwa nafasi ya Procurement officer II, wengi tuliishia kukodolea macho yale majina mengi(2455), huku binafsi nilipitaga juu juu, huenda sikumuona
 
Wale mliosema kuwa Mtoto wa Palamagamba Kabudi lazima awepo kwenye mkeka wa Bunge,, mbona hayupo..!!! Utumishi wanakanda yeyote yule hawaamgalii Sura[emoji16]
MKUU,
UTASHANGAA MWENZIO UNAYEDHANI AMEDUFULIWA,
KUMBE TAYARI AMESHAPEWA HADI BARUA YA KUANZA KAZI NA SALARY YA SEPTEMBA AMEPATA.

HAPO ND'O UTAJUA KUWA HII NCHI NI YETU SOTE NA MAENDELEO HAYANA CHAMA!!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
kweli ikawe hivyo mkuu kitaani pagumu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema wale panelists mpka nikajiuliza wanataka waniue au vipi

[emoji23] nadhani lengo lao ni ukose sababu ya kulalamika kuna upendeleo. Wanakunyoosha ukubali mwenyewe kwamba umeshindwa, usijekusema maswali yalikuwa rahisi ila wamepitisha watu wao.
 

Aisee, ni kweli nimekuelewa, maswali ya aina hiyo kama hujui hujui.
 
Wale mliosema kuwa Mtoto wa Palamagamba Kabudi lazima awepo kwenye mkeka wa Bunge,, mbona hayupo..!!! Utumishi wanakanda yeyote yule hawaamgalii Sura[emoji16]

Hahaha, kama ni hivyo jamaa hawaangalii sura, ngoja nikaupitie.

Au ni kwa sababu wameona tumeshaanza kumzungumzia mitandaoni!?

Hata kile kipindi watu walikuwa wanatekwa sana, ilibidi mtu akijua anaweza kutekwa, anajitangaza hadharani ili watekaji waone aibu kisha wamuache, hahaha.
 
Huyu mdau Seneta Wa Mtwiz kasema hapo juu, unaweza kukuta tayari kashapata barua na cheque no na salary ya Septemba huenda kashainyaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwenye vitu ambavyo mbongo lazima amuingize nduguye ni huku kwenye miraja ya Asali akiwa na access ya kufanya hivyo, ila huwezi kumuona mbongo akamuingiza nduguye kwenye online business kama hii Kalynda inayotrend hapa jukwaa letu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hatari sana
 
MKUU,
UNAPOZUNGUMZIA TAASISI YENYE MEMBERS WA KUTOSHA NCHI HII NI TAASISI YETU KONGWE YA "UMAJOTA" (UMOJA WA MAJOBLESS TANZANIA).
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…