Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu, kwa wewe uliofika Oral sina shaka natabiri kuna placement inakuhusu.
😂😂😂😂Maswali yalikua magumu ya oral labda muujiza wa Mungu utendeke maana nikigoogle naona nilijibu chenga tu afu kibaya wakati natoka kuna mwamba akawa kama anacheka hivi asa apo si tayari nishadandia boti ya mandonga😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maswali yalikua magumu ya oral labda muujiza wa Mungu utendeke maana nikigoogle naona nilijibu chenga tu afu kibaya wakati natoka kuna mwamba akawa kama anacheka hivi asa apo si tayari nishadandia boti ya mandonga[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha, na wao ni binadamu Mkuu, unaweza usipate kazi uliyokusudia ila ukapata kwa kubakizwa kwenye data base na kupangiwa Ofisi nyingine.

Ushike huu utabiri, placements zikianza kutoka utanikumbuka.
 
Hahaha, na wao ni binadamu Mkuu, unaweza usipate kazi uliyokusudia ila ukapata kwa kubakizwa kwenye data base na kupangiwa Ofisi nyingine.

Ushike huu utabiri, placements zikianza kutoka utanikumbuka.
kweli ikawe hivyo mkuu kitaani pagumu sana😂😂😂😂😂sema wale panelists mpka nikajiuliza wanataka waniue au vipi
 
Mkuu vipi, mbona umekata tamaa mapema? Pepa ilikuwa ngumu sana?
Siwezi kusema sio ngumu wala ngumu, hilo jibu linafaa endapo tukiona Selected au Not Selected.

Kiufupi maswali yalikuwa yanajibika ila kwa upande wangu, swali moja lilinikalia tenge, lilihitaji kumention steps ambazo huwezi kuzitunga kama concept. Sasa hapa kama huzijui basi imekula kwako
 
Back
Top Bottom