Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila siyo fair kabisa mnawaita watu wanatoka mikoa ya mbali wengine kwa kuunga unga then mnaitana kimya kimya
Na hili la kupanga range kubwa ya tarehe ya written na oral nalo ni kichomi.

Imagine tumepiga written jana, oral itakuwa J4. Ingawa walisema matokeo leo ila hawatabiriki unaweza kuta wameyatoa kesho, tena usiku mnene.
 
Naomba kuuliza
Mfano ukipata kazi status ya aoolication inakuwa imeandikwa vipi? Au inabaki shortlisted?
Mkuu sijui inakuaje na umenikumbusha nimeenda kwenye account yangu nimekuta Kuna kitu cha ajabu sana nimekuta SHORTLISTED pekee hakuna cha namba Wala nn hapo nishakandwa Sasa mpka namba ya pepa wamefuta wakati Kuna kazi nyingine nishafanya interview ila ipo selected for oral
 
Hiyo ni mtandao tu umeyumba lakini itarudi kama kawaida sijui wale waliopata kazi inakuaje pale kwa status
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…