Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Hahah kwa nini mtaalamuAkuna kitu kama ichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah kwa nini mtaalamuAkuna kitu kama ichi
Kwa mfano taasisi ninayoisubiria mimi nauliza kule wanadai bado na hakuna mtumishi mpya hadi sasaKwa jinsi picha ninavyolion walengwa watakuwa walishaitwag kitambo kirefu tuu,
Mimi taasisi ninayoisubir hadi barua ya kuwaita kazini watu nliona daahKwa mfano taasisi ninayoisubiria mimi nauliza kule wanadai bado na hakuna mtumishi mpya hadi sasa
Hii ndio Tz😂😂😂😂Mimi taasisi ninayoisubir hadi barua ya kuwaita kazini watu nliona daah
Hahahahaaa.Mimi taasisi ninayoisubir hadi barua ya kuwaita kazini watu nliona daah
🤣🤣🤣 Dah wazee wa kukanda hawa ni balaaa hawapo fair kabisaIla siyo fair kabisa mnawaita watu wanatoka mikoa ya mbali wengine kwa kuunga unga then mnaitana kimya kimya
Taasisi gani hiyo mzee walioitwa kimya kimya?Ila siyo fair kabisa mnawaita watu wanatoka mikoa ya mbali wengine kwa kuunga unga then mnaitana kimya kimya
Na hili la kupanga range kubwa ya tarehe ya written na oral nalo ni kichomi.Ila siyo fair kabisa mnawaita watu wanatoka mikoa ya mbali wengine kwa kuunga unga then mnaitana kimya kimya
Hapo ni mwendovwa kuingia gharama tu,utaratibu huu sio mzuri kabisaNa hili la kupanga range kubwa ya tarehe ya written na oral nalo ni kichomi.
Imagine tumepiga written jana, oral itakuwa J4. Ingawa walisema matokeo leo ila hawatabiriki unaweza kuta wameyatoa kesho, tena usiku mnene.
Tusubiri walioingia kwenye mrija waje watupe muongozoNaomba kuuliza
Mfano ukipata kazi status ya aoolication inakuwa imeandikwa vipi? Au inabaki shortlisted?
Mkuu sijui inakuaje na umenikumbusha nimeenda kwenye account yangu nimekuta Kuna kitu cha ajabu sana nimekuta SHORTLISTED pekee hakuna cha namba Wala nn hapo nishakandwa Sasa mpka namba ya pepa wamefuta wakati Kuna kazi nyingine nishafanya interview ila ipo selected for oralNaomba kuuliza
Mfano ukipata kazi status ya aoolication inakuwa imeandikwa vipi? Au inabaki shortlisted?
Hiyo ni mtandao tu umeyumba lakini itarudi kama kawaida sijui wale waliopata kazi inakuaje pale kwa statusMkuu sijui inakuaje na umenikumbusha nimeenda kwenye account yangu nimekuta Kuna kitu cha ajabu sana nimekuta SHORTLISTED pekee hakuna cha namba Wala nn hapo nishakandwa Sasa mpka namba ya pepa wamefuta wakati Kuna kazi nyingine nishafanya interview ila ipo selected for oral
Okay duh 😂😂Hiyo ni mtandao tu umeyumba lakini itarudi kama kawaida sijui wale waliopata kazi inakuaje pale kwa status
Round hii mkuu unatoboa jiandae tu kuchukua barua ya kazi mkuu🙏Na hili la kupanga range kubwa ya tarehe ya written na oral nalo ni kichomi.
Imagine tumepiga written jana, oral itakuwa J4. Ingawa walisema matokeo leo ila hawatabiriki unaweza kuta wameyatoa kesho, tena usiku mnene.
Ulijua umeshakandwa mkuu?Okay duh 😂😂
Tuombeane heri tu wakuu tupate woteRound hii mkuu unatoboa jiandae tu kuchukua barua ya kazi mkuu🙏