Hapana,mtihani ulikua simple sana mkuu,nimeshindwa kuelewa intention yao ni nini.ila ngoja tuone majibu watayatoaje
Ndo tatizo .. Yani ukikosea kidogo au ukiunga unga wanapita na weweMkuu mtihani ukiona simple ujue pana hatari hapo, na wanao mark wanakuwa serious pia, ukikosea kidogo tu unapigwa mkasi.
Hawajanipa maelezo yoyote,Hongera sana na pole pia kwa usumbufu. Namna hiyo ndivyo tunavyopaswa kupigania haki unayoona inaminywa.
Walikueleza nini siku wanakupatia, kiwa barua waliidisplace kimakosa? au ilipotea kabisa wakaiandaa upya?
Barua huwa ina mambo Gani?Nimegundua kitu kuhusu hizi placements.
Yaani zinapitia hatua ndefu hadi zije zitoke ndio maana tunaona zinachelewa sana.
Barua zetu zimeandikwa tarehe 8/12/2022(mwezi mmoja baada ya Oral) halafu placement imetoka tarehe 9/1/2023(mwezi mmoja baada ya barua kauandaliwa).
Je hiyo interval ya mwezi mmoja mmoja, nini huwa kinafanyika?
Turejee kanuni zao.
Baada ya Oral matokeo hukusanywa/alama zinakusanywa zinakuwa compile sehemu moja kama oral ilifanyika sehemu tofauti tofauti(yaani PSRS na Zenji). Then Mwenyekiti wa jopo la Panelist atakabidhiwa hayo matokeo na yeye atayawasilisha kwenye Board ili placement zikapangwe kulingana na ufaulu wa oral.(hapo mwezi ushakatika).
Mwezi mwingine inakuja suala la kusainiwa, Hapa mzee Kitenge atatenga muda wa kuzisaini barua zote zilizoandaliwa, hadi kumaliza mwezi ushakatika.
Baada ya hapo ndio zamu ya placements inafika, ikitoka tu barua ziko tayari ndio maana kuchukua barua haichukui muda ni dk chache tu.
Kwa hiyo mnaosubiri placement inabidi mtambue hilo na subira ndio silaha ya kuishi nayo katika hicho chote
Hongera sana kwa kupambania jasho lako mkuu, nafasi yako ilikuwa inachukuliwa na wengine hapo.Kaka, nilizungushwa takriban mwezi mzima, hatimaye nimeipata juzi.
Mkuu utumishi hawajiamulii tu wanafuata kanuni zinazowaongoza .Soma kanuni hizo utajifunza kitu. Nafasi moja inahitaji watu watu wa oral.umeikimbia pepa mkuu, sasa hpo utakuta passmark nikuanzia 90, si kwa ubaya lkn utumishi itabidi waweke marks ambazo mtu akifikisha basi atinge oral , sio kma saiz wanajiamulia tu, hii inavunja mioyo watafutaji wengi
Ni mambo ya bureaucracy bro, Bongo nyoso. Ni kupotezeana muda na pesa.Barua huwa ina mambo Gani?
-kama issue ni mlolongo mrefu mbona higher learning institutions huwa wanamaliza mchakato faster na placement kufanyika faster?
Wanachokiangalia cha kwanza ni nafasi zilizopo/zinazogombaniwa.umeikimbia pepa mkuu, sasa hpo utakuta passmark nikuanzia 90, si kwa ubaya lkn utumishi itabidi waweke marks ambazo mtu akifikisha basi atinge oral , sio kma saiz wanajiamulia tu, hii inavunja mioyo watafutaji wengi
Sawa mkuu, hope mambo yatakuwa mazuri kwa hatua inayofuataHapana,mtihani ulikua simple sana mkuu,nimeshindwa kuelewa intention yao ni nini.ila ngoja tuone majibu watayatoaje
Basi huenda waliidisplaceHawajanipa maelezo yoyote,
Na kwa nilivyoghadhibika sikutaka hata kuhoji.
Walipoiona ID. yangu tu wakanikumbuka, wakaniambia nitoke nikasubiri mapokezi, baada ya kama robo saa nikaitwa na kupewa barua yangu.
Ila kwa inavyoonekana ni document iliyoprintiwa siku nyingi kiasi.
Hizi paper zinazosemekanaga kuwa simple matokeo yake mara nyingi huwa ni bonge la supriseHapana,mtihani ulikua simple sana mkuu,nimeshindwa kuelewa intention yao ni nini.ila ngoja tuone majibu watayatoaje
[emoji1787][emoji1787]Rafiki yangu kyagata hujawahi Kaa bila kulalamika pepa yoyote ya utumishi uliyofanya[emoji23][emoji23]
Kiukweli bado hatujapata jibu sahihi la kwanini wanachelewesha kulingana na taasisi zinazoendesha sahili zao.Barua huwa ina mambo Gani?
-kama issue ni mlolongo mrefu mbona higher learning institutions huwa wanamaliza mchakato faster na placement kufanyika faster?
Nami nimehis harufu ya kitu..nakumbuka ile ya heslb kuna wadau hawana hamu nayo hadi leoHizi paper zinazosemekanaga kuwa simple matokeo yake mara nyingi huwa ni bonge la suprise
Hapana,mtihani ulikua simple sana mkuu,nimeshindwa kuelewa intention yao ni nini.ila ngoja tuone majibu watayatoaje
Yeah maana apo Kuna element na components...😁 Unaeza ukajchanganyaHilo swali la kwanza huenda likachanganya watu sana..lilihitaji kutuliza akili sana
Rafiki inastand kama kiwakilishi/nomino tu, kama tunavyotumia Comrade kwenye kingereza,,, Au we unajua urafiki upi Nii huu wa kujuana kwa ID fake hizi..?Mbona hatujawahi kuwa marafiki?