Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii pepa inapigika mkuu,jah ablesi utusue. hpo mchawi concepts ya rent ni topic ambayo wengi tunaipuza
 
Set of financial statements which are compliant with IFRS has five elements,.. hizo alizotaja mdau, IAS NO 1; Presentation of financial statements. Isome uielewe.
Kaka hebu leta screenshot tuu ya hicho kipande

IFAC wana document hii kwenye website yao wana document hii
 
Attachments

  • Screenshot_2023-01-14-22-18-13-798_cn.wps.moffice_eng.jpg
    66.4 KB · Views: 14
Aisee
Mfano hilonla kwanza kwa haraka haraka bila kugoogle ungeandika points zipi mkuu?
Hilo swali wengi wangekurupuka na components ilhali swali linataka elements na hapo ndo mkando unapokuwa mkando [emoji28][emoji28][emoji28]

Kuwa makini na maji yaliyotulia siku zote.
 
Set of financial statements which are compliant with IFRS has five elements,.. hizo alizotaja mdau, IAS NO 1; Presentation of financial statements. Isome uielewe.
Kaka Elements ni "classes of transactions grouped together for the purpose of preparing financial statements"
 
Set of financial statements which are compliant with IFRS has five elements,.. hizo alizotaja mdau, IAS NO 1; Presentation of financial statements. Isome uielewe.
Sasa hizo income statement , statement of financial position etc sio transaction
 
Hizo ulizosema ni Components according to IAS NO 1 View attachment 2481332
Nime-cite IAS 1; PRESENTATATION OF FINANCIAL STATEMENT.

Hiyo doc yako imeonesha kabisa, IAS 1: 10.

Unachotakiwa kufaham, huyo katumia components, wengine hutumia neno elements kwahyo, compenents=elements, namaanisha ni mamneno mawili ambayo humaanisha kitu kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…