Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nime-cite IAS 1; PRESENTATATION OF FINANCIAL STATEMENT.

Hiyo doc yako imeonesha kabisa, IAS 1: 10.

Unachotakiwa kufaham, huyo katumia components, wengine hutumia neno elements kwahyo, compenents=elements, namaanisha ni mamneno mawili ambayo humaanisha kitu kimoja.
Mkuu Elements na Components kwenye hili swali havina maana sawa ..

Jipe dakika 5 fuatilia then njoo ulete mrejesho
 

Attachments

  • Screenshot_20230114-224323.png
    Screenshot_20230114-224323.png
    44.2 KB · Views: 10
Hii kaka haijatoka kwenye official IAS Plus web

Na ukienda google pengine ni only acc web itakayokwambia hizi ni elements
Kakaa, jibu la uhakika na kweli ni hilo unalobisha,. Nimeattach pdf ya IAS 1, toka website ya ifrs.org, unaweza enda kuisoma ile standard kule.
 

Attachments

  • Screenshot_20230114-225735.png
    Screenshot_20230114-225735.png
    46.1 KB · Views: 10
Back
Top Bottom