Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Poleni sana, mkipata muda muwe mnasoma na IAS's.Upo sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana, mkipata muda muwe mnasoma na IAS's.Upo sahihi
Sawa Mkuu tutapitia IAS's ila na wewe usikose kupitiamo.Poleni sana, mkipata muda muwe mnasoma na IAS's.
Nilichezea ndoige kwenye huu ukumbi[emoji28][emoji28]
Tuombeane kaka.Mungu ni mwema.Atusaidie Sote🙏Mimi nimepiga Oral mwezi December mkuu.. Tunawaombea Afya njema PSRS Wafanye kazi kwa bidii na ufasaha ili mwezi ujao nikachukuwe barua yangu pale Migiro😁
Amen,🙏🙏Tuombeane kaka.Mungu ni mwema.Atusaidie Sote🙏
Mkuu Elements na Components kwenye hili swali havina maana sawa ..Nime-cite IAS 1; PRESENTATATION OF FINANCIAL STATEMENT.
Hiyo doc yako imeonesha kabisa, IAS 1: 10.
Unachotakiwa kufaham, huyo katumia components, wengine hutumia neno elements kwahyo, compenents=elements, namaanisha ni mamneno mawili ambayo humaanisha kitu kimoja.
December na November wanaweza achia muda wowote tu kuanzia Sasa.Tuendelee kuomba Mungu.Mimi nimepiga Oral mwezi December mkuu.. Tunawaombea Afya njema PSRS Wafanye kazi kwa bidii na ufasaha ili mwezi ujao nikachukuwe barua yangu pale Migiro😁
Sawa Mkuu tutapitia IAS's ila na wewe usikose kupitiamo.
Yaaah, Wala haziko mbaliDecember na November wanaweza achia muda wowote tu kuanzia Sasa.Tuendelee kuomba Mungu.
Vp status yako Iko na Changes zozote mkuu..?December na November wanaweza achia muda wowote tu kuanzia Sasa.Tuendelee kuomba Mungu.
Kakaa, jibu la uhakika na kweli ni hilo unalobisha,. Nimeattach pdf ya IAS 1, toka website ya ifrs.org, unaweza enda kuisoma ile standard kule.Hii kaka haijatoka kwenye official IAS Plus web
Na ukienda google pengine ni only acc web itakayokwambia hizi ni elements
Yeah tuache watungaji wafanye yaoIla wenye majibu ni watungaji swali, muhimu ni kutokuchukulia poa swali la interview hata kama likitaka uandike jina lako tuu.
Sawa kaka basi itakua tumechemka!Kakaa, jibu la uhakika na kweli ni hilo unalobisha,. Nimeattach pdf ya IAS 1, toka website ya ifrs.org, unaweza enda kuisoma ile standard kule.
Kaka, kwenye uhasibu tunarefer kwanza Conceptual Framework, sio google[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kakaa, jibu la uhakika na kweli ni hilo unalobisha,. Nimeattach pdf ya IAS 1, toka website ya ifrs.org, unaweza enda kuisoma ile standard kule.
Pole sana, unafam kuwa framework inatoa muongozo tu na details zaidi zinapatikana katika standard husika?.Kaka, kwenye uhasibu tunarefer kwanza Conceptual Framework, sio google[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa uelewaa huu sina hakika kama practically unaweza andaa,kufunga hesabu na kutengeneza financial statement.Mkuu, element ni lazima iwe transaction,
Debit: Asset & Expenses
Credit: Income, Liability na Equity