Paper ina maswali manne, bado mengine matatu hapo.Sawa kaka basi itakua tumechemka!
Sasa kuna standard inayoelezea Elements of financial statements zaidi ya Conceptual FrameworkPole sana, unafam kuwa framework inatoa muongozo tu na details zaidi zinapatikana katika standard husika?.
Bro, accounting n f/s reporting is all about IAS's.
Kaka mi nimeamua nikuache ujipe ushindi tuu [emoji1787]Paper ina maswali manne, bado mengine matatu hapo.
Nimefanya reference ya IAS 1.Sasa kuna standard inayoelezea Elements of financial statements zaidi ya Conceptual Framework
Uzuri majibu yanarudi kwa namba tu katika pdf na kwenye acc zenu. Kila la kheri.Kaka mi nimeamua nikuache ujipe ushindi tuu [emoji1787]
Kuna accounting websites zinazotoa shule quality (na accreditations zinazotambulika duniani) na wana maproffesors wanaoandika content ambazo ni verified .. Eg Acc Coach, Bayju
Yani hakuna website yoyote wanaback up jibu lako (I assume you are better that all the acc experts out there or Tanzania tuna tafsiri yetu ya hiyo IAS[emoji1787])
Hizo ndio elements za FS, au lugha imekupiga chenga?Hizo ulizotaja zinaitwa "Set of financial statements"
Kijana kumbe mtupu kabisa
Kaka hii mbona imesema wazi kua "complete set of financial statements" ambazo ndo hizo unang'ang'aniaNimefanya reference ya IAS 1.
Ishushe, ukakae palee, uisome uielewe.
Msibishane subirieni baada ya siku kama 7 hadi 10 mtapata majibu.Uzuri majibu yanarudi kwa namba tu katika pdf na kwenye acc zenu. Kila la kheri.
Mkuu kakae chini uanze kusoma kwa umakini, hizo ndizo elements za Financial statements.Hizo ulizotaja zinaitwa "Set of financial statements"
Kijana kumbe mtupu kabisa
Hawa jamaa wavivu kujifunza, nimewapa pdf ya IAS 1, waanzie hapo.Mkuu kakae chini uanze kusoma kwa umakini, hizo ndizo elements za Financial statements.
Mnaposoma msiishie tu juu juu.
Sijaaangalia muda sana kaka: Si PDF ndio muhimuVp status yako Iko na Changes zozote mkuu..?
Wacha nikupe shule kidogo,.Sasa kuna standard inayoelezea Elements of financial statements zaidi ya Conceptual Framework
Huyo jamaa hilo jina la IFRS yafaa aachane nalo na ajiite KILAZA.Wacha nikupe shule kidogo,.
✓IAS 1; Presentation of financial statements - inazungumzia elements, content/layout and structure of f/s.
✓IAS 2; Inventory
✓ IAS 16; Proparty, plant and equipment.
Kama muhasib, anza nazo hizo standards, ni muhim sana
Nimeshangaa mnoo kujiita IFRS, ilhali ni debe tupu.Huyo jamaa hilo jina la IFRS yafaa aachane nalo na ajiite KILAZA.
Nimeshangaa mnoo kujiita IFRS, ilhali ni debe tupuHuyo jamaa hilo jina la IFRS yafaa aachane nalo na ajiite KILAZA.
Jamaa ni KILAZA na anataka kuwaaminisha madogo humu ndani MATANGO PORI yake.Nimeshangaa mnoo kujiita IFRS, ilhali ni debe tupu
Nimekwambia acha kuzungukaHawa jamaa wavivu kujifunza, nimewapa pdf ya IAS 1, waanzie hapo.
Nithibitishie kwamba wewe uko sahihiJamaa ni KILAZA na anataka kuwaaminisha madogo humu ndani MATANGO PORI yake.