Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usahili ni suala endelevu, katika kila usahili kuna kitu cha kujifunza. Tunawekana sawa.acheni kujadili mitiani mnazengua. nyie subirien matokeo
Mkuu,nimekuwekea attachments za nbaa hapo juu.una nini cha kusema tena?Usahili ni suala endelevu, katika kila usahili kuna kitu cha kujifunza. Tunawekana sawa.
mnazengua. huku tupo kada mbalimbali. tujadilini vitu vingine. chukuaneni na kada yako muende watsup mka discussUsahili ni suala endelevu, katika kila usahili kuna kitu cha kujifunza. Tunawekana sawa.
Nimeona mkuu, screen shot ya juu, ameelezea criteria zinazotumika ku-recognize items/elements zinazopatikana katika f/s.Mkuu,nimekuwekea attachments za nbaa hapo juu.una nini cha kusema tena?
Ukae kwa kutulia, msingekua mnaomba maswali yaliyoulizwa katika sahili.mnazengua. huku tupo kada mbalimbali. tujadilini vitu vingine. chukuaneni na kada yako muende watsup mka discuss
Mkuu,wewe ulifaa kuwa mwanasiasa maana unapinga hata kitu kinachoonekana kwa macho tu!Nimeona mkuu, screen shot ya juu, ameelezea criteria zinazotumika ku-recognize items/elements zinazopatikana katika f/s.
Picha ya chini, ameorodhesha kila element ya fs katika diagram, chini yake ameweka maelezo, hiyo element ina report kuhusu nini, chini kabisa ameanisha kwa ku-classify items zinazotumika kutengeneza/inazounda kila element. Angalia vema heading.
Mwajiri ni nani?Watu wameitwa Kazini Mwezi wa 11 ila wameambiwaa kuanza kazi mwezi 2 mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie utumishi huwa wanachambua data gani kwani???
Hospital ya serikaliMwajiri ni nani?
Cool down, hii itakuwa reference kwa wengine na hapa ndo pana shida ndio maana umeona watu wanajadiliana.mnazengua. huku tupo kada mbalimbali. tujadilini vitu vingine. chukuaneni na kada yako muende watsup mka discuss
Tuwaache mkuu wajadili.mnazengua. huku tupo kada mbalimbali. tujadilini vitu vingine. chukuaneni na kada yako muende watsup mka discuss
Haina jina?Hospital ya serikali
Wanazingua sana, hiyo ndio picha halisi ya taasisi za Umma.Hospital ya serikali
toka lini utumishi wakarudia maswali..? nilikua sipo online nashangaa narudi nakutana na mzigo wa meseji za discussion baadala ya maswala ya placement na status[emoji16][emoji1787]Ukae kwa kutulia, msingekua mnaomba maswali yaliyoulizwa katika sahili.
Ajira sio serikkalini tu, unafikiri wote humu wanafanya sahili utumishi pekee? Halafu, usijipe umuhimu kiasi hiko kana kwamba wewe ndio moderator wa uzi huu.toka lini utumishi wakarudia maswali..? nilikua sipo online nashangaa narudi nakutana na mzigo wa meseji za discussion baadala ya maswala ya placement na status[emoji16][emoji1787]
Habari yako "bro"Wanazingua sana, hiyo ndio picha halisi ya taasisi za Umma.
Jina la nini sasa[emoji3][emoji3]Haina jina?
Sasa una jaribu kuwa mbinafsi wasio na placement hawana HAKI ya kupambana kupata placements? Kwanini watu huwa wanauliza jamani ambaye amewahi kufanya interview x hebu aseme maswali aliulizwa? Hebu ruhusu watu wajadiliane na kama doesn't make sense to you una skip tuu.toka lini utumishi wakarudia maswali..? nilikua sipo online nashangaa narudi nakutana na mzigo wa meseji za discussion baadala ya maswala ya placement na status[emoji16][emoji1787]
Acha kuwa mbinafsi.toka lini utumishi wakarudia maswali..? nilikua sipo online nashangaa narudi nakutana na mzigo wa meseji za discussion baadala ya maswala ya placement na status[emoji16][emoji1787]