Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Watu wameitwa Kazini Mwezi wa 11 ila wameambiwaa kuanza kazi mwezi 2 mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie utumishi huwa wanachambua data gani kwani???
 
Mkuu,nimekuwekea attachments za nbaa hapo juu.una nini cha kusema tena?
Nimeona mkuu, screen shot ya juu, ameelezea criteria zinazotumika ku-recognize items/elements zinazopatikana katika f/s.

Picha ya chini, ameorodhesha kila element ya fs katika diagram, chini yake ameweka maelezo, hiyo element ina report kuhusu nini, chini kabisa ameanisha kwa ku-classify items zinazotumika kutengeneza/inazounda kila element. Angalia vema heading.
 
Mkuu,wewe ulifaa kuwa mwanasiasa maana unapinga hata kitu kinachoonekana kwa macho tu!
 
Watu wameitwa Kazini Mwezi wa 11 ila wameambiwaa kuanza kazi mwezi 2 mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie utumishi huwa wanachambua data gani kwani???
Mwajiri ni nani?
 
Ukae kwa kutulia, msingekua mnaomba maswali yaliyoulizwa katika sahili.
toka lini utumishi wakarudia maswali..? nilikua sipo online nashangaa narudi nakutana na mzigo wa meseji za discussion baadala ya maswala ya placement na status[emoji16][emoji1787]
 
toka lini utumishi wakarudia maswali..? nilikua sipo online nashangaa narudi nakutana na mzigo wa meseji za discussion baadala ya maswala ya placement na status[emoji16][emoji1787]
Ajira sio serikkalini tu, unafikiri wote humu wanafanya sahili utumishi pekee? Halafu, usijipe umuhimu kiasi hiko kana kwamba wewe ndio moderator wa uzi huu.
 
toka lini utumishi wakarudia maswali..? nilikua sipo online nashangaa narudi nakutana na mzigo wa meseji za discussion baadala ya maswala ya placement na status[emoji16][emoji1787]
Sasa una jaribu kuwa mbinafsi wasio na placement hawana HAKI ya kupambana kupata placements? Kwanini watu huwa wanauliza jamani ambaye amewahi kufanya interview x hebu aseme maswali aliulizwa? Hebu ruhusu watu wajadiliane na kama doesn't make sense to you una skip tuu.

Utanisamehe maana pia nimeingilia uhuru wako katika kutoa maoni yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…