Kweli kabisa watu tushawachoka.. huu Uzi ni kwa ajili ya kupeana updates za interview, placements na kufarijiana sio kudiscuss mitihani ya utumishi.. kama umefanya pepa sio Mbaya kushare maswali but majibu katafute mwenyewe kivyakovyakoJamani si msubiri majibu, mnajaza thread tu sio kila mtu kasoma ma acvounys
Fungueni thread yenu mkabishanie kule asee
Huu uzi una guest wengi mno ,japo wachangiaj n wachache ila watu wanaoufatilia n wengiK
Kweli kabisa watu tushawachoka.. huu Uzi ni kwa ajili ya kupeana updates za interview, placements na kufarijiana sio kudiscuss mitihani ya utumishi.. kama umefanya pepa sio Mbaya kushare maswali but majibu katafute mwenyewe kivyakovyako
Asante kwa kunirekebishaUnatudanganya bana
Financial statement ni rekodi zilizoandikwa zinazowasilisha shughuli za biashara na utendaji wa kifedha wa kampuni.
KaribuAsante kwa kunirekebisha
Huko tushachukua barua na kupeleka kwa mwajiri ili akakamilishe taratibu za ajira, zikikamilika ndio mwajiri anatupigia simu tukaanze.°hivi psrs huwa wanapiga simu?
°ikitokea hupatikani ?Huko tushachukua barua na kupeleka kwa mwajiri ili akakamilishe taratibu za ajira, zikikamilika ndio mwajiri anatupigia simu tukaanze.
Huu utaratibu upo kote kwa waajiri wote wanaotafutiwa wafanyakazi na PSRS
Hv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujichagulia watu Bora anaowataka.. Au sioHuko tushachukua barua na kupeleka kwa mwajiri ili akakamilishe taratibu za ajira, zikikamilika ndio mwajiri anatupigia simu tukaanze.
Huu utaratibu upo kote kwa waajiri wote wanaotafutiwa wafanyakazi na PSRS
Ndio, mfano interview ya MUCE nadhani panel ilikuwa na watu wa MUCE na afisa utumishi mmoja tuHv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. kuwa suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujijagulia watu Bora anaowataka.. Au sio
Yaaap, hapo wanachagua wenyewe wanaowaona the bestNdio, mfano interview ya MUCE nadhani panel ilikuwa na watu wa MUCE na afisa utumishi mmoja tu
Mkuu nakuombea uje upate hiyo kazi...maana msg zako huwa unaulizia placements tu.Maana kila nikiona notifications za JF najua Kuna jambo tayari huko La New💥
Yaaah placements ndo Hatua ya mwsho tena ya ushindi.. So kipengele muhimu sana kwetu sisi wasubiria placementsMkuu nakuombea uje upate hiyo kazi...maana msg zako huwa unaulizia placements tu.
Mkuu tuzidi kuombeana tu,kama tulivyowaombea wenzetu waliopata na tukafutahi Kwa pamoja humu ndani.Mungu ni mwema naimani atatenda kwa wakati wake sahihi.Mkuu nakuombea uje upate hiyo kazi...maana msg zako huwa unaulizia placements tu.
Mdau naona umekuja baada ya kujificha muda mrefuYaaah placements ndo Hatua ya mwsho tena ya ushindi.. So kipengele muhimu sana kwetu sisi wasubiria placements
Mimi nipo humu Wala sibanduki.. ngoja Nile kwanza hapa tuendelee kupeana updates humu 😁Mdau naona umekuja baada ya kujificha muda mrefu
Nakubali mwamba wa December....Mimi nipo humu Wala sibanduki.. ngoja Nile kwanza hapa tuendelee kupeana updates humu 😁
Wenzako watakujuza. Kama ni wewe pekee basi hapo sijui labda watarudia kukupigia simu°ikitokea hupatikani ?