Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

K
Jamani si msubiri majibu, mnajaza thread tu sio kila mtu kasoma ma acvounys

Fungueni thread yenu mkabishanie kule asee
Kweli kabisa watu tushawachoka.. huu Uzi ni kwa ajili ya kupeana updates za interview, placements na kufarijiana sio kudiscuss mitihani ya utumishi.. kama umefanya pepa sio Mbaya kushare maswali but majibu katafute mwenyewe kivyakovyako
 
Huu uzi una guest wengi mno ,japo wachangiaj n wachache ila watu wanaoufatilia n wengi

Asa hawa wanaobishana wanatupa kazi mno kufatilia mambo ya msingi

Natumaini wataacha
 
Huko tushachukua barua na kupeleka kwa mwajiri ili akakamilishe taratibu za ajira, zikikamilika ndio mwajiri anatupigia simu tukaanze.

Huu utaratibu upo kote kwa waajiri wote wanaotafutiwa wafanyakazi na PSRS
Hv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujichagulia watu Bora anaowataka.. Au sio
 
Hv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. kuwa suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujijagulia watu Bora anaowataka.. Au sio
Ndio, mfano interview ya MUCE nadhani panel ilikuwa na watu wa MUCE na afisa utumishi mmoja tu
 
Back
Top Bottom