Basi umeiweka vizuri zaidi kauli yanguHv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujichagulia watu Bora anaowataka.. Au sio
Hii ni platform huru, kama kinachochangiwa hakikuhusu busara ni kukaa kimya tu.Jamani si msubiri majibu, mnajaza thread tu sio kila mtu kasoma mambo yenu
Fungueni thread yenu mkabishanie kule asee
Update za interview ni kama zipi? Kila kitu kinapatikana katika website ya utimishi na katika akaunti ya muhusikia, hapa mnajadili status zipi? Hizo za kuulizia kama placement zimetoka kana kwamba hamjui kuwa placement hubandikwa katika website ya utumishi?K
Kweli kabisa watu tushawachoka.. huu Uzi ni kwa ajili ya kupeana updates za interview, placements na kufarijiana sio kudiscuss mitihani ya utumishi.. kama umefanya pepa sio Mbaya kushare maswali but majibu katafute mwenyewe kivyakovyako
Wewe upo katika kundi lipi hapo, guest au mchangiaji?Huu uzi una guest wengi mno ,japo wachangiaj n wachache ila watu wanaoufatilia n wengi
Asa hawa wanaobishana wanatupa kazi mno kufatilia mambo ya msingi
Natumaini wataacha
Ni kweli ila hao wahasibu limechukuwa mda kinoma yani,,,,then mkweli ni yupi hatujui! Wasubiri ushuhuda tu kwa matokeo,, kama mada za stutus zilivyopitaga na kuwatoa washindi ni Shirtlisted kwenda selected for oral,,,🚶🚶Wewe upo katika kundi lipi hapo, guest au mchangiaji?
Wanaofatilia huu uzi kweli kweli hawawezi shangaa hilo la mjadala huo kwa hao wahasibu. Uzi umekua ukibadilika badilika kulingana na mazingira husika, lakini yote ni mambo ya kupita tu, agenda kuu imeendelea kuwa ile ile.
Hata hyo ya stutus pia haikumalizika kwa maana wapo wenye selected for oral ya kijani na hawapo kwenye placements.Ni kweli ila hao wahasibu limechukuwa mda kinoma yani,,,,then mkweli ni yupi hatujui! Wasubiri ushuhuda tu kwa matokeo,, kama mada za stutus zilivyopitaga na kuwatoa washindi ni Shirtlisted kwenda selected for oral,,,🚶🚶
Wewe selected yako ni ya rangi gani.. tuanzie hapa kwanza😁Hata hyo ya stutus pia haikumalizika kwa maana wapo wenye selected for oral ya kijani na hawapo kwenye placements.
Nilitaka kuuliza tuanzia hapa hapaWewe selected yako ni ya rangi gani.. tuanzie hapa kwanza😁
Unajijibu mwenyewe, relax aseeHii ni platform huru,
Uache kipangia watu cha kujadili kama unajua hii kuwa ni platform huru.Unajijibu mwenyewe, relax asee
Nonesense!mnajaza thread tu sio kila mtu kasoma mambo yenu
Fungueni thread yenu mkabishan
Daah asa mi nimekosea wapi jamani 😃😃😃 ilikua ni mawazo yangu unaeza TAKE IT or LEAVE IT. Usijisikie vibaya haikuwa kwa ubaya hataUache kipangia watu cha kujadili kama unajua hii kuwa ni platform huru.
Nonesense!
Una uhakika placement za October hazijaisha upande wa kada ya Law? Wakati washabandika Mara mbili tarehe 06 na 10 kwa MDA &LGANaona watu wa Accounts
bado kuna kada za sheria za MDA & LGA za October hazijatoka mkeka wake.
Hana habari huyo mkuu,,, hebu si tuendelee kusubiri za November na decemberUna uhakika placement za October hazijaisha upande wa kada ya Law? Wakati washabandika Mara mbili tarehe 06 na 10 kwa MDA &LGA
amini hilo kwamba kwa mimi nilioshiriki ule usaili upande wa NPS...watu wa MDA & LGA upande wa sheria hawajatolewa placements yao. Kama ipo kati ya hizo unazodai wewe hebu ioneshe.Una uhakika placement za October hazijaisha upande wa kada ya Law? Wakati washabandika Mara mbili tarehe 06 na 10 kwa MDA &LGA
Hazijaisha dear, am among ya hao wa law tulofanya MDA na LGA. Placement badoUna uhakika placement za October hazijaisha upande wa kada ya Law? Wakati washabandika Mara mbili tarehe 06 na 10 kwa MDA &LGA
Basi watu muwe mnacomment kitu mkiwa na uhakika nacho 100%, kama huna uhakika ni bora usemeHana habari huyo mkuu,,, hebu si tuendelee kusubiri za November na december
Sawa mkuu..sina habari.Hana habari huyo mkuu,,, hebu si tuendelee kusubiri za November na december
Babu hizi tayari,kuna manzi ni mpangaji mwenzetu hapa kapata kapangwa kuwa state attorney ofisi ya wakili mkuu wa serikali interview ilifanyika mwaka jana October na placements zimetoka tarehe 10 mwezi huu.amini hilo kwamba kwa mimi nilioshiriki ule usaili upande wa NPS...watu wa MDA & LGA upande wa sheria hawajatolewa placements yao. Kama ipo kati ya hizo unazodai wewe hebu ioneshe.
MDA & LGA walikuwa wanataka State Attorneys na Legal officers. Yaani wakili atakayefanya kazi kwenye wizara, Idara zinazojitegemea au Wakala wa serikali pamoja na Halmashauri nchini.
Placement zilizotoka ni za NPS yaani Ofisi ya mashitaka ya Taifa, AGC yaani ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na OSG, yaani wakili mkuu wa serikali.
Najua amekupa moto wa wewe pia kupambana mwaka huu...!! Hongera sana kwa jirani yako.Unayefuata uwe wewe kaka.Babu hizi tayari,kuna manzi ni mpangaji mwenzetu hapa kapata kapangwa kuwa state attorney ofisi ya wakili mkuu wa serikali interview ilifanyika mwaka jana October na placements zimetoka tarehe 10 mwezi huu.