Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujichagulia watu Bora anaowataka.. Au sio
Basi umeiweka vizuri zaidi kauli yangu
 
K
Kweli kabisa watu tushawachoka.. huu Uzi ni kwa ajili ya kupeana updates za interview, placements na kufarijiana sio kudiscuss mitihani ya utumishi.. kama umefanya pepa sio Mbaya kushare maswali but majibu katafute mwenyewe kivyakovyako
Update za interview ni kama zipi? Kila kitu kinapatikana katika website ya utimishi na katika akaunti ya muhusikia, hapa mnajadili status zipi? Hizo za kuulizia kama placement zimetoka kana kwamba hamjui kuwa placement hubandikwa katika website ya utumishi?

Mjadala unaona kwako hauna faida, jua wazi mjadala huo huo ni msaada mkubwa na wa faida kwa mtu mwingine, hakuna "universal comments" zinazomfurahisha kila mtu hapa, tunavumiliana tu, na ndio ustaarabu huo.
 
Wale wa livestock, tourism, aquaculte officers n.k, leteni maswali mlofanya aisee ìli tujifunze hapa, kama research ipo au vipi....

Mimi post yangu nimekula shavu la kupiga oral tu na siyo written and oral tena.
 
Attachments

  • 20230116_141229.jpg
    20230116_141229.jpg
    47.3 KB · Views: 16
Huu uzi una guest wengi mno ,japo wachangiaj n wachache ila watu wanaoufatilia n wengi

Asa hawa wanaobishana wanatupa kazi mno kufatilia mambo ya msingi

Natumaini wataacha
Wewe upo katika kundi lipi hapo, guest au mchangiaji?

Wanaofatilia huu uzi kweli kweli hawawezi shangaa hilo la mjadala huo kwa hao wahasibu. Uzi umekua ukibadilika badilika kulingana na mazingira husika, lakini yote ni mambo ya kupita tu, agenda kuu imeendelea kuwa ile ile.
 
Ni kweli ila hao wahasibu limechukuwa mda kinoma yani,,,,then mkweli ni yupi hatujui! Wasubiri ushuhuda tu kwa matokeo,, kama mada za stutus zilivyopitaga na kuwatoa washindi ni Shirtlisted kwenda selected for oral,,,🚶🚶
 
Hata hyo ya stutus pia haikumalizika kwa maana wapo wenye selected for oral ya kijani na hawapo kwenye placements.
 
Una uhakika placement za October hazijaisha upande wa kada ya Law? Wakati washabandika Mara mbili tarehe 06 na 10 kwa MDA &LGA
amini hilo kwamba kwa mimi nilioshiriki ule usaili upande wa NPS...watu wa MDA & LGA upande wa sheria hawajatolewa placements yao. Kama ipo kati ya hizo unazodai wewe hebu ioneshe.

MDA & LGA walikuwa wanataka State Attorneys na Legal officers. Yaani wakili atakayefanya kazi kwenye wizara, Idara zinazojitegemea au Wakala wa serikali pamoja na Halmashauri nchini.

Placement zilizotoka ni za NPS yaani Ofisi ya mashitaka ya Taifa, AGC yaani ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na OSG, yaani wakili mkuu wa serikali.
 
Babu hizi tayari,kuna manzi ni mpangaji mwenzetu hapa kapata kapangwa kuwa state attorney ofisi ya wakili mkuu wa serikali interview ilifanyika mwaka jana October na placements zimetoka tarehe 10 mwezi huu.
 
Najua amekupa moto wa wewe pia kupambana mwaka huu...!! Hongera sana kwa jirani yako.Unayefuata uwe wewe kaka.
 
Back
Top Bottom