Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii ya Kusema kibao ni uongo..
Me naamini in-service ambao wanaomba kazi psrs Huwa wako tu interested na taasisi husika au kufuata maslahi kimtindo.. Sasa ukija kwenye Uhalisia hizo taasisi zenye maslahi ni Chache sana na nadra kutangaza hizo kazi sasa hao in-service kibao wanatoka wapi..?

Pia, in-service wanaomba kazi psrs ni hawa vijana ambao hawana hata miaka 5 kwenye kazi zao(utumishi wa Umma) hawa ndio wasumbufu, ni ngumu sana kukuta senior worker Yuko huko Halmashauri ameridhika na majukumu yake, Mishe zake na yuko na familia kubwa akawa anahangaika namna hyo.
Kumbuka mwingine kaingia kazini ana diploma, kajiendeleza kapata degree so kazi ikitangazwa psrs anaomba maana hakuna kupanda kama miaka hiyo kazi inatangazwa inagombewa. Wapo wengi sana wa hivi.
 
Yaelekea ulifanya vizuri sana,mpaka una hamu nayo hivyo...
Kuwa mpole kidogo,mlifanya kikanda,lazima wataunganisha matokeo Kwa pamoja kwanza ndio wataachia Majina yangu.Sasa endelea kuomba tu.
Sorry, hapa watachukua ratio ya kikanda au watachukua waliofaulu tu hata kama ni Kanda moja. Let assume kama Kanda moja au tatu hakuna aliyepata 50, na waliopata 50 and above ni Kanda moja let say dar tu, je wataziacha Kanda nyingine au watajaribu kibalance Kila Kanda itoe mtu?
 
Suala ni kufaulu upite parsmark...kanda ni kituo tu cha kufnyia mtihni sio kigezo cha kufaulu
 
Sorry, hapa watachukua ratio ya kikanda au watachukua waliofaulu tu hata kama ni Kanda moja. Let assume kama Kanda moja au tatu hakuna aliyepata 50, na waliopata 50 and above ni Kanda moja let say dar tu, je wataziacha Kanda nyingine au watajaribu kibalance Kila Kanda itoe mtu?
SAhili zimefanyika kikanda ili kupunguza gharama kwa watafuta ajira, lakini matokeo hayatoka kwa kanda bali yatajumuishwa pamoja na wale waliofika kiwango stahiki ndio watasonga kwa hatua inayofuata.
 
Asante sana kwa majibu mazuri, lakini ingekuwa vizuri zaidi kama wangezingatia selection kikanda ili kwenye usaili wa mahojihano wakutane watu kutoka sehemu mbalimbali ingependeza sana na kuleta faraja kwa baadhi ya watu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi kabisa maishani mwetu.
 
Hauoni kama hii italeta bias fulani kwa baadhi ya mikoa kukosa wawakilishi?
Asante sana kwa majibu mazuri, lakini ingekuwa vizuri zaidi kama wangezingatia selection kikanda ili kwenye usaili wa mahojihano wakutane watu kutoka sehemu mbalimbali ingependeza sana na kuleta faraja kwa baadhi ya watu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi kabisa maishani mwetu.

Kinachotafutwa sio wawakilishi wa kanda husika, bali ni vijana wa Kitanzania walifaulu/ wenye sifa husika kulingana na kazi iliyotangazwa kwenda kufanya hayo majukumu.

Kwa hyo baadhi ya kanda kama hawana vijana wenye sifa watasaidiwa na wenzao toka maeneo mengine. Muhimu ni kupata watu wenye sifa ya kufanya hyo kazi.
 
Asante sana kwa majibu mazuri, lakini ingekuwa vizuri zaidi kama wangezingatia selection kikanda ili kwenye usaili wa mahojihano wakutane watu kutoka sehemu mbalimbali ingependeza sana na kuleta faraja kwa baadhi ya watu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi kabisa maishani mwetu.
Mkuu kweli unahisi kuna kanda wanaweza kufeli wote?siamini katika hilo.
Ila issue kubwa ni kufaulu tu haijalishi umetoka kanda ipi
 
Back
Top Bottom