zinafnguka mkuu kwngu zimefnguka em chek vzr simu ykoHazifunguki labda elekeza tovuti ulipozitoa tukacheki huko
Ok basi kuna shida mahali pdf zote nafungua kasoro hizozinafnguka mkuu kwngu zimefnguka em chek vzr simu yko
Ndio mkuuKwamba boss wangu iko hivi?
Mfano:
SELECTED FOR ORAL Interview:
No.PSRS/22/1233/1328
Sijawahi kudownload App, pia sijawahi kuitumiaiyo ni kwenye web. je kwenye application yao iliandikaje?
Sawasawa,Ndio mkuu
Kumbuka mwingine kaingia kazini ana diploma, kajiendeleza kapata degree so kazi ikitangazwa psrs anaomba maana hakuna kupanda kama miaka hiyo kazi inatangazwa inagombewa. Wapo wengi sana wa hivi.Hii ya Kusema kibao ni uongo..
Me naamini in-service ambao wanaomba kazi psrs Huwa wako tu interested na taasisi husika au kufuata maslahi kimtindo.. Sasa ukija kwenye Uhalisia hizo taasisi zenye maslahi ni Chache sana na nadra kutangaza hizo kazi sasa hao in-service kibao wanatoka wapi..?
Pia, in-service wanaomba kazi psrs ni hawa vijana ambao hawana hata miaka 5 kwenye kazi zao(utumishi wa Umma) hawa ndio wasumbufu, ni ngumu sana kukuta senior worker Yuko huko Halmashauri ameridhika na majukumu yake, Mishe zake na yuko na familia kubwa akawa anahangaika namna hyo.
Mlifanya written lini?.Majibu ya afisa utumishi yanatoka lini ? Mpaka leo kimya na hawakusema chochote
Jumapili asubuhiMlifanya written lini?.
Kuwa mpole mkuu, subiri angalau wiki moja toka sasa.Jumapili asubuhi
Yaelekea ulifanya vizuri sana,mpaka una hamu nayo hivyo...Majibu ya afisa utumishi yanatoka lini ? Mpaka leo kimya na hawakusema chochote
Vizuri wapi Mkuu niliacha swali moja, muda uliisha,nataka tu presha iisheYaelekea ulifanya vizuri sana,mpaka una hamu nayo hivyo...
Kuwa mpole kidogo,mlifanya kikanda,lazima wataunganisha matokeo Kwa pamoja kwanza ndio wataachia Majina yangu.Sasa endelea kuomba tu.
Sorry, hapa watachukua ratio ya kikanda au watachukua waliofaulu tu hata kama ni Kanda moja. Let assume kama Kanda moja au tatu hakuna aliyepata 50, na waliopata 50 and above ni Kanda moja let say dar tu, je wataziacha Kanda nyingine au watajaribu kibalance Kila Kanda itoe mtu?Yaelekea ulifanya vizuri sana,mpaka una hamu nayo hivyo...
Kuwa mpole kidogo,mlifanya kikanda,lazima wataunganisha matokeo Kwa pamoja kwanza ndio wataachia Majina yangu.Sasa endelea kuomba tu.
Suala ni kufaulu upite parsmark...kanda ni kituo tu cha kufnyia mtihni sio kigezo cha kufauluSorry, hapa watachukua ratio ya kikanda au watachukua waliofaulu tu hata kama ni Kanda moja. Let assume kama Kanda moja au tatu hakuna aliyepata 50, na waliopata 50 and above ni Kanda moja let say dar tu, je wataziacha Kanda nyingine au watajaribu kibalance Kila Kanda itoe mtu?
Kanda ya dodoma wamefeli wote haimaanishi watawchukua ilimuradi kubalance...kilichopo ni ufaulu no matter umefnyia wap usahiliSuala ni kufaulu upite parsmark...kanda ni kituo tu cha kufnyia mtihni sio kigezo cha kufaulu
SAhili zimefanyika kikanda ili kupunguza gharama kwa watafuta ajira, lakini matokeo hayatoka kwa kanda bali yatajumuishwa pamoja na wale waliofika kiwango stahiki ndio watasonga kwa hatua inayofuata.Sorry, hapa watachukua ratio ya kikanda au watachukua waliofaulu tu hata kama ni Kanda moja. Let assume kama Kanda moja au tatu hakuna aliyepata 50, na waliopata 50 and above ni Kanda moja let say dar tu, je wataziacha Kanda nyingine au watajaribu kibalance Kila Kanda itoe mtu?
Hauoni kama hii italeta bias fulani kwa baadhi ya mikoa kukosa wawakilishi?Suala ni kufaulu upite parsmark...kanda ni kituo tu cha kufnyia mtihni sio kigezo cha kufaulu
Asante sana kwa majibu mazuri, lakini ingekuwa vizuri zaidi kama wangezingatia selection kikanda ili kwenye usaili wa mahojihano wakutane watu kutoka sehemu mbalimbali ingependeza sana na kuleta faraja kwa baadhi ya watu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi kabisa maishani mwetu.SAhili zimefanyika kikanda ili kupunguza gharama kwa watafuta ajira, lakini matokeo hayatoka kwa kanda bali yatajumuishwa pamoja na wale waliofika kiwango stahiki ndio watasonga kwa hatua inayofuata.
Hauoni kama hii italeta bias fulani kwa baadhi ya mikoa kukosa wawakilishi?
Asante sana kwa majibu mazuri, lakini ingekuwa vizuri zaidi kama wangezingatia selection kikanda ili kwenye usaili wa mahojihano wakutane watu kutoka sehemu mbalimbali ingependeza sana na kuleta faraja kwa baadhi ya watu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi kabisa maishani mwetu.
Mkuu kweli unahisi kuna kanda wanaweza kufeli wote?siamini katika hilo.Asante sana kwa majibu mazuri, lakini ingekuwa vizuri zaidi kama wangezingatia selection kikanda ili kwenye usaili wa mahojihano wakutane watu kutoka sehemu mbalimbali ingependeza sana na kuleta faraja kwa baadhi ya watu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi kabisa maishani mwetu.