Hongera sana mkuuWashanicheki tayari
[emoji1666][emoji120]Mimi nafurahi sana kuona ushirikishwaji wa kila hatua ndugu zangu mnaotuambia, hakika inatia moyo sana kwa sisi tunaosubiri placement na interview,,,Mkawe mabalozi wazuri katika utumishi wa umma. Hakika maisha ni. Safari na sote tutafika kwa nyakati tofauti, Mungu ni Mwema kwetu sote. Ameeen
Hongera sana kaka, kila la kheri.Sisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Hongera sana MkuuWashanicheki tayari
InshaallahUsikate tamaa, endelea kujifua kwa Oral, sidhani kama watawapa siku zaidi ya tatu kujiandaa kwa oral toka tarehe ya kupandisha matokeo.
Kila la kheri kwako.Inshaallah
Hivi wakuu TRA training wanalipaje?Hongera mkuu,
WIki ijayo unaanza kulamba za training.
Jana J3 niwe mzigoniHongera sana kiongozi, wamekucheki lini?
Poa poa kamandaHongera sana mkuu
Ahaa swaaafii kabisa kawe mtumishi boraJana J3 niwe mzigoni
Hivi wakuu TRA training wanalipaje?
Umeitwa?Hivi wakuu TRA training wanalipaje?
Hivi wakuu TRA training wanalipaje?
Ega tangu wanile kichwa Sina hamu TenaMzee wa IT upoo?umehadimika sn
Hakuna kukata tamaa mkuu mpaka tufike sehemu husika.Ega tangu wanile kichwa Sina hamu Tena
Wanafanyiaga sehemu gani ayo mafunzoMalipo yanatofautiana, ulifanya kada gani?.