Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi nafurahi sana kuona ushirikishwaji wa kila hatua ndugu zangu mnaotuambia, hakika inatia moyo sana kwa sisi tunaosubiri placement na interview,,,Mkawe mabalozi wazuri katika utumishi wa umma. Hakika maisha ni. Safari na sote tutafika kwa nyakati tofauti, Mungu ni Mwema kwetu sote. Ameeen
[emoji1666][emoji120]
 
Back
Top Bottom