selected for oral sometime inachange selected for practical kwenye appIkoje uko mkuu
Pamoja kakaHongera Sana mwifwa na cves kwa kuvutiwa waya,msitukimbie humu jamani,
mkuu Ahmet usichoke endelea kuvuta subra soon utaingia mzigoni Bado hatua kidogo tu
Zaidi ya ile "Only Shortlisted will be Contacted for interview" especially kwenye private sector[emoji3][emoji3][emoji3]"Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi
zitakapotangazwa."
Hii sentensi inabidi uisome vizuri maana inaumiza balaa
Ulifanya lini usaili?selected for oral sometime inachange selected for practical kwenye app
Naomba kujua kitu gani kimesababisha useme kuwa kafaulu oral?Kwa kifupi umefaulu Oral Interview lakini hujui kwa kiwango gani na wenzio wamefaulu kwa kiwango gani ? Database tayari upo ila kuhusu placement siyo guaranteed.
Hiyo sentensi ya kiswahili inaumiza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zaidi ya ile "Only Shortlisted will be Contacted for interview" especially kwenye private sector[emoji3][emoji3][emoji3]
decemberUlifanya lini usaili?
Naomba kujua kitu gani kimesababisha useme kuwa kafaulu oral?
Yah kwel kk tusklizie nyingine tuzid kuomba mungSure mzee ngoja tusubr zitakazotangazwa mwaka huu
Saaana maana hujui umefeli usaili au hukupata nafasiHiyo sentensi ya kiswahili inaumiza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me navyoona baada ya oral tu status hatuzielewi tusubiri pdf mkuu, that is finally.....december
Hata hii inatosha Kaka, kwa sababu uhakika wa kusoma Master ni mkubwa hapo.Ni tutorial assistant,
Nashukuru sana kaka
Kabisa, vip barua uliipeleka kituo cha kazi?Hata hii inatosha Kaka, kwa sababu uhakika wa kusoma Master ni mkubwa hapo.
Hawakupata nafasi,,,,,DATA BASE"Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi
zitakapotangazwa."
Hii sentensi inabidi uisome vizuri maana inaumiza balaa
Shukrani Kwa kunipa moyoHongera Sana mwifwa na cves kwa kuvutiwa waya,msitukimbie humu jamani,
mkuu Ahmet usichoke endelea kuvuta subra soon utaingia mzigoni Bado hatua kidogo tu
kama hawajafaulu, watafahamu vipi wakati hawatoi matokeo ya oral ?Hawakupata nafasi,,,,,DATA BASE
Hawakufaulu,,,,,,Baba jene bye bye
Wasusite kuomba tena,,,,,Usife moyo
AmiinWale wa december placement za OCTOBER NA NOVEMBER ZIMEISHA?
WATABIRI MTUPE MREJESHO ILI WATU WA DECEMBER TUKAE MKAO WA KULA.....
#PLACEMENT NI TIBA TOSHA, HASWA TUKIWEO KWENYE PDF
GOD BLESS US ALL TUWEMO TUNAOSUBIRI PLACEMENT NA USAILI WA MAHOJIANO TUWE SELECTED
AMEEN
Wale wa december placement za OCTOBER NA NOVEMBER ZIMEISHA?
WATABIRI MTUPE MREJESHO ILI WATU WA DECEMBER TUKAE MKAO WA KULA.....
#PLACEMENT NI TIBA TOSHA, HASWA TUKIWEO KWENYE PDF
GOD BLESS US ALL TUWEMO TUNAOSUBIRI PLACEMENT NA USAILI WA MAHOJIANO TUWE SELECTED
AMEEN