Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

"Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi
zitakapotangazwa."

Hii sentensi inabidi uisome vizuri maana inaumiza balaa
Kwenye placements za Vyuo ndio huwa inaandikwa sana hii kauli
 
Wewe kaa mkao wa kula mkuu,

Hizi Placement hazina utaratibu katika utolewaji wake, nafikiri ni kutokana na uhitaji ktk Taasisi husika.

Ndio maana kuna Placement za December zimetoka wkt Baadh ya za October na November hazijatoka.
Sawasawa mkuu, wacha nile mtori nyama ziko chini
 
Yachanganue kiongozi kama unayafahamu
Mi nipo kwa Afisa

Niliambiwa na muhusika aliekuwa anafanya mafunzo Placement hiz zilizopita, alikuwa ni TMO na ilikuwa ni 100,000 kwa siku × kwa siku walizofanya hayo mafunzo.

NB: Subiri upate nafasi kwanza ndio uanze kupiga hayo mahesabu ya Allowances pamoja na Salary. Huwa inaumiza sana ukikosa nafasi wkt ulikuwa na matarajio makubwa.
 
[emoji419][emoji419]sana aisee
 
Ushauri mzuri sana kwa any jobless, utasaidia kukabiriana na sonona ya juu inapotokea mkando
 
Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
 
UShauri mzr san 📌
 
Strong women
 
Sure, umeiweka vizuri sana, namna ya kusubiri michakato ya ajira inahitaji stadi na ujuzi kabisa. Kwa kiasi kikubwa inasababisha vijana wengi kupata tatizo la afya ya akili.
 
Ushauri poa sana huu.

Vipi leo nikucheki twende Bonyokwa?
 
Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Hongera sana this is so brilliant, Lakini kwa jobless wengi wako frustrated and emotional kutokana na hali halisi wanayopitia hasa wale wasio na ajira hata zile binafsi sasa linapokuja swala la kujijenga na kuendesha/control hisia ili kuweka mawazo kwenye mlengo huu inakuwa taabu sana.

Sasa nikushauri jobless mwenzangu unae kumbana na changamoto hii:
1. Weka tumaini lako kwa mungu (Kwa imani yako)
2. Imarisha utambuzi wako wa kihisia EI (Emotional Intelligence) kwa kusoma vitabu kama kile cha mzee Goleman, hupotezi muda kwakuwa browser history yako imejaa tovuti ya JF, PSRS Web and Potal sasa punguza huo muda na ujisomee. (ANGALIZO: Tusikukose hapa)
3. Find a mentor (ukiona hujui namana ni PM)

JFmtazamo huru
 
Sure, umeiweka vizuri sana, namna ya kusubiri michakato ya ajira inahitaji stadi na ujuzi kabisa. Kwa kiasi kikubwa inasababisha vijana wengi kupata tatizo la afya ya akili.
Mtu anaamkia kwenye website ya PSRS na anaishi huko yani[emoji23], placement zinakuja hayumo, afya ya akili hapo lazima ikae mahala pake[emoji23]
 
Back
Top Bottom