NAOTHongera Mkuu, TRA?
Yachanganue kiongozi kama unayafahamuMalipo yanatofautiana, ulifanya kada gani?.
Ahsante sana mkuuHongera Sana mwifwa na cves kwa kuvutiwa waya,msitukimbie humu jamani,
mkuu Ahmet usichoke endelea kuvuta subra soon utaingia mzigoni Bado hatua kidogo tu
Kwenye placements za Vyuo ndio huwa inaandikwa sana hii kauli"Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi
zitakapotangazwa."
Hii sentensi inabidi uisome vizuri maana inaumiza balaa
Sawasawa mkuu, wacha nile mtori nyama ziko chiniWewe kaa mkao wa kula mkuu,
Hizi Placement hazina utaratibu katika utolewaji wake, nafikiri ni kutokana na uhitaji ktk Taasisi husika.
Ndio maana kuna Placement za December zimetoka wkt Baadh ya za October na November hazijatoka.
Yachanganue kiongozi kama unayafahamu
Mi nipo kwa Afisa
[emoji419][emoji419]sana aiseeNiliambiwa na muhusika aliekuwa anafanya mafunzo Placement hiz zilizopita, alikuwa ni TMO na ilikuwa ni 100,000 kwa siku × kwa siku walizofanya hayo mafunzo.
NB: Subiri upate nafasi kwanza ndio uanze kupiga hayo mahesabu ya Allowances pamoja na Salary. Huwa inaumiza sana ukikosa nafasi wkt ulikuwa na matarajio makubwa.
Ushauri mzuri sana kwa any jobless, utasaidia kukabiriana na sonona ya juu inapotokea mkandoNiliambiwa na muhusika aliekuwa anafanya mafunzo Placement hiz zilizopita, alikuwa ni TMO na ilikuwa ni 100,000 kwa siku × kwa siku walizofanya hayo mafunzo.
NB: Subiri upate nafasi kwanza ndio uanze kupiga hayo mahesabu ya Allowances pamoja na Salary. Huwa inaumiza sana ukikosa nafasi wkt ulikuwa na matarajio makubwa.
Aisee watoe tu hawa TPDC tunasbria tukapambaneTPDC hawaja tenda muujiza bado, kwahivyo bado Interview hazija isha.
Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yaniUshauri mzuri sana kwa any jobless, utasaidia kukabiriana na sonona ya juu inapotokea mkando
Ahsante sana mkuu.
Tuendelee kuombeana kwa kila hatua ili kila mmoja aweze kufika hatua anayoitaka kwa muda wake ukifika
UShauri mzr san 📌Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Strong womenKabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Niliipeleka mkuu,Kabisa, vip barua uliipeleka kituo cha kazi?
Na haukuchelewa?
Sure, umeiweka vizuri sana, namna ya kusubiri michakato ya ajira inahitaji stadi na ujuzi kabisa. Kwa kiasi kikubwa inasababisha vijana wengi kupata tatizo la afya ya akili.Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Ushauri poa sana huu.Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Hongera sana this is so brilliant, Lakini kwa jobless wengi wako frustrated and emotional kutokana na hali halisi wanayopitia hasa wale wasio na ajira hata zile binafsi sasa linapokuja swala la kujijenga na kuendesha/control hisia ili kuweka mawazo kwenye mlengo huu inakuwa taabu sana.Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushauri poa sana huu.
Vipi leo nikucheki twende Bonyokwa?
Mtu anaamkia kwenye website ya PSRS na anaishi huko yani[emoji23], placement zinakuja hayumo, afya ya akili hapo lazima ikae mahala pake[emoji23]Sure, umeiweka vizuri sana, namna ya kusubiri michakato ya ajira inahitaji stadi na ujuzi kabisa. Kwa kiasi kikubwa inasababisha vijana wengi kupata tatizo la afya ya akili.