Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahaha wewe jamaa,unajua JF Ina notifications so humu taarifa kupata ni rahisi sana.Maana mnachat sana vijana.Halafu placement unajua Kuna watu wengine simu za marafiki zao ndio huwapa taarifa,mtu anaweza asijue kitu ila kupitia watu akapata taarifa either ya Hongera kwa kuitwa Usaili au mwanangu nimeona jina lako Ajira mpya sehemu Fulani hongera...
 

Website ya Utumishi ndio uhakika mkuu, kuna member walikuwa wanazingua humu kipind fulani wanasema kuna tangazo la kuitwa kazini ukienda kule hamna lolote.

Pia humu wengi tunatumia fake id, kwa hyo ni ngumu kujua majina yetu halisia.
 
Tusiache kumuomba Mungu kila mtu kwa imani yake .

Tumuite Mungu tuzungumze naye yeye uwa anaitika na kujibu .

Tusisali kwa mazoea tusali tukimanisha tujiandalie mazingira na utayali wa kusema na Mungu yeye atajibu kwa wakati sahihi.

Chagueni sala kwa imani ifanye silaha yako katika kila mapambano kama utaamini Mungu atatenda.

Naamini yeyote mwenye imani hatutafika mwezi wa sita kila mtu atakua ashapata kazi tusikate tamaa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Well spoken and noted, May Almighty God grant us success in this year 2023. Amen
 
Unakopata taarifa jua kuna watu ndio wanakesha kweny hyo web ya PSRS.

Kwa hyo shukuru kwa hlo kwani bila hivyo ungekuwa unapata taarifa kwa kuchelewa.
Maisha ni kuchagua, sijamkashifu yoyote, au kusema wanafanya vibaya. My point ni u can check even once a day, hao watu wapo, na kuna wale kuanzia asubuhi anaamkia huko na kushinda huko, na hii ndo inaleta shida au unaumia sana ukikuta jina hamna, maana maisha yako yote umededicate kwa PSRS, depression inaanzia hapo, kwa hiyo ata nisipopata taarifa au watu wasingekuwepo bado naweza kwenda website nikakuta tangazo lolote kwa muda nliojipangia, uzuri utumishi hawawezi toa majina leo halafu wakakwambia ureport kesho asubuhi. Labda interview ambazo ata nkifanya lazima niwe updated.
 
Wengine ndio husubiri hadi Data Base...
Kuna mtu kashakandwa kote, placement zimetoka hayupo ila anatulia tuli, hajishughulishi chochote, anasubiri data base[emoji23], wapi atapata, lini ndo hajui, hajui ata kama alifaulu oral, tena hivyo tulishanganyana na mambo ya status humu anaona kabisa ana selected for oral na selected for null ndo kwanza humwambii chochote[emoji4]
 
Unajua mtaani
Ni pamoto sana hasa kwa mtu asie na ramn yyte so by default anajikuta anashinda kwenye web ya psrs...inatgemea na hali ya ujobless aliyonayo mtu kama una sehm unafnya mishe sio rahis kuwaza sn psrs
 
Amen Twinawe
 
Yaani hata hujathibitishwa kazini, hii itakua ngumu. Vijana tuwe na subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…