Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii web ya psrs Sasa inamaliza bando za vijna tu.. yaan watu wamefanya Usaili miezi 2 iliyopita Ila placements hollaaaaaa
 
Acha hizo mkuu mtaka yote kwa pupa ukosa yote apo ulipopata ndo mungu alipokupangia
 
Hivi placement ni swala la taasisi husika kutoa go ahead utumishi ya ku release majina ya walioshinda usahili au ni swala la PSRS wenyew kutoa placement baada ya oral ? Maana kuna taasisi placement zinawah kutoka ata ndani ya mwezi tu lakn nyingine zinachelewa
 
Nahisi mwenyew Jukumu ilo no Taasisi husika PSRS wao ni km wasimamizi wa mchakato wa kuwatafuta Vijana wenye Sifa

Inshort PSRS wanasimama Kati ya Muajiri na Mtafuta ajira. Tu hivyo ndy navyohis maana Kwa mujib wa PSRS placement Siku zote inategemewa kutoka baada ya Week 3 after Oral
 
Hii week 3 labda kw miaka ya nyuma mkuu,,, Ila miaka hii inachukiwa muda zaidi ya miez mi2-3. yaan kama hiz saili za kufanya pale Migiro direct zinachelewa, Ila zinazofanyika kwenye Taasisi Husika zinawahi kutoka ndani ya hyo wiki 3 kama ulivyosema. Niliona chuo Cha Kilimo mwalimu Nyerere, SUA, Must, na vyuo karibia vyote na mara nyingi wanazitangaza vyuo husika..
Ila kama ulifanya psrs Endelea kusubiri Huwa inachukiwa mda
 
Shida ss itakuwa Kwny Muajiri mwenyew maana km mchakato wa kuwapata watu waliofaulu haiwez Chukua Muda Shida n kuwatangaza au ndy wanaanza na database kabla ya Freshers
 
Group letu nililomaanisha ni lile la classmates tuliohitimu mwaka fulani pamoja.

Pia kulikuwaga na group la Chuo la Telegram. Hilo wengi wetu tulikuwa tunaleft pindi tukimaliza chuo.
 
Hilo hata sisi tunapongezana, ila PSRS huwa hatuijadili kabisa
Kwenye group letu kujadili hapana, ili ikitokea kazi zinazohusu sheria wanatuma, kama kuna call for interview na kuna majina ya baadhi ya members PDF inatumwa, kama kuna placement PDF inatumwa na pongezi juu ake, utani kidogo hivyo yan
 
Shida ss itakuwa Kwny Muajiri mwenyew maana km mchakato wa kuwapata watu waliofaulu haiwez Chukua Muda Shida n kuwatangaza au ndy wanaanza na database kabla ya fresher
Serikali juzi imenunua ma V8 mapyaa Kwa mabunyenye, lakini Ss huku , tuna subiria replacement huu mwezi wa 7 ss, majibu ya ora yanakaa zaidi ya mwezi .
Daa my country. Inaenda shimoni 😭
Ss unajua utaratibu wa Burundi mpk ulie na Ur Country πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mi uwaga naamin km Nyakat ni sahihi hata wachelewe Jina lako limo tu watapotoa utaliona

Unaambiwa kila Jua linapochomoza Bhs uwalimebeba ridhiki za watu wote walio hai Cha Msingi ni kuomba Uzima tu ili tuwe miongon mwawanaopokea Ridhik zao Katika Siku Usika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…