Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo shida,Hii web ya psrs Sasa inamaliza bando za vijna tu.. yaan watu wamefanya Usaili miezi 2 iliyopita Ila placements hollaaaaaa
Acha hizo mkuu mtaka yote kwa pupa ukosa yote apo ulipopata ndo mungu alipokupangiaHabari za jioni waheshimiwa wasaka mirija ya asali wenzangu.
Kwa mfano, mtu umepata mrija wa asali taasisi A (mfano Tutor - VETA),
Umeripoti zako kazini baada ya mwezi tu ukaona vacancy zingine imetangazwa utumishi ya taasisi B (mfano Tutorial Assistant OPEN UNIVERSITY),
Ikiwa vigezo vya kuomba ile ya vacancy ya OPEN UNIVERSITY unavyo na unajua kuwa kwa kiwango na maslahi ni zaidi ya VETA,
Inaruhusiwa kuomba ikiwa una mwezi mmoja tu tangu uajiriwe?
Na je mwajiri anaweza kuwa willing kuipitisha barua ya maombi ya kazi kwenda PSRS?
Nahisi mwenyew Jukumu ilo no Taasisi husika PSRS wao ni km wasimamizi wa mchakato wa kuwatafuta Vijana wenye SifaHivi placement ni swala la taasisi husika kutoa go ahead utumishi ya ku release majina ya walioshinda usahili au ni swala la PSRS wenyew kutoa placement baada ya oral ? Maana kuna taasisi placement zinawah kutoka ata ndani ya mwezi tu lakn nyingine zinachelewa
Hii week 3 labda kw miaka ya nyuma mkuu,,, Ila miaka hii inachukiwa muda zaidi ya miez mi2-3. yaan kama hiz saili za kufanya pale Migiro direct zinachelewa, Ila zinazofanyika kwenye Taasisi Husika zinawahi kutoka ndani ya hyo wiki 3 kama ulivyosema. Niliona chuo Cha Kilimo mwalimu Nyerere, SUA, Must, na vyuo karibia vyote na mara nyingi wanazitangaza vyuo husika..Nahisi mwenyew Jukumu ilo no Taasisi husika PSRS wao ni km wasimamizi wa mchakato wa kuwatafuta Vijana wenye Sifa
Inshort PSRS wanasimama Kati ya Muajiri na Mtafuta ajira. Tu hivyo ndy navyohis maana Kwa mujib wa PSRS placement Siku zote inategemewa kutoka baada ya Week 3 after Oral
Shida ss itakuwa Kwny Muajiri mwenyew maana km mchakato wa kuwapata watu waliofaulu haiwez Chukua Muda Shida n kuwatangaza au ndy wanaanza na database kabla ya FreshersHii week 3 labda kw miaka ya nyuma mkuu,,, Ila miaka hii inachukiwa muda zaidi ya miez mi2-3. yaan kama hiz saili za kufanya pale Migiro direct zinachelewa, Ila zinazofanyika kwenye Taasisi Husika zinawahi kutoka ndani ya hyo wiki 3 kama ulivyosema. Niliona chuo Cha Kilimo mwalimu Nyerere, SUA, Must, na vyuo karibia vyote na mara nyingi wanazitangaza vyuo husika..
Ila kama ulifanya psrs Endelea kusubiri Huwa inachukiwa mda
😂😂😂😂😂😂😂Mlale Leo siweki placement 🤣🤣
Mkuu haijabadilika hata mm iko vilevile kwahiyo tusiogope, na sio ss tu wengi.Wadau naomba mje mtoe nondo za Status jamani
Kama hii aliyopoat jamaa humu ndo inaashiria nn.?
SELECTED FOR null(hizo Capital letter zote ni Kijani)
Shida ss itakuwa Kwny Muajiri mwenyew maana km mchakato wa kuwapata watu waliofaulu haiwez Chukua Muda Shida n kuwatangaza au ndy wanaanza na database kabla ya Freshers
naona ni zaidi ya siku 40 Toka upige Oral, Au sio mkuu..?Mkuu haijabadilika hata mm iko vilevile kwahiyo tusiogope, na sio ss tu wengi.
Yeah zimefika kabisa mkuu,naona ni zaidi ya siku 40 Toka upige Oral, Au sio mkuu..?
Group letu nililomaanisha ni lile la classmates tuliohitimu mwaka fulani pamoja.Group la chuo ni kwa wale Graduates wa hivi karibuni mwaka 1 had 2 hivi.
Sasa mtu una miaka zaidi ya 5 uraiani kuulizia updates kweny grp mtu unajistukia. Isitoshe wengi wao tayari wamesha move on kwnye mambo mengine.
Ndio maana ya kuwa na simu janja, taarifa zote unaangalia mwenyew hata ukiwa kwenye daladala hata bodaboda.
Binafsi huwa nashangaa mtu anauliza humu et vipi Placement hazijatoka huko, wkt anauwezo wakuangalia mwnyw na kujua mbivu na mbichi.
Hilo hata sisi tunapongezana, ila PSRS huwa hatuijadili kabisaSisi mtu akipata kazi wanampongeza kama hapa[emoji3]
Kwenye group letu kujadili hapana, ili ikitokea kazi zinazohusu sheria wanatuma, kama kuna call for interview na kuna majina ya baadhi ya members PDF inatumwa, kama kuna placement PDF inatumwa na pongezi juu ake, utani kidogo hivyo yanHilo hata sisi tunapongezana, ila PSRS huwa hatuijadili kabisa
Shida ss itakuwa Kwny Muajiri mwenyew maana km mchakato wa kuwapata watu waliofaulu haiwez Chukua Muda Shida n kuwatangaza au ndy wanaanza na database kabla ya fresherHii week 3 labda kw miaka ya nyuma mkuu,,, Ila miaka hii inachukiwa muda zaidi ya miez mi2-3. yaan kama hiz saili za kufanya pale Migiro direct zinachelewa, Ila zinazofanyika kwenye Taasisi Husika zinawahi kutoka ndani ya hyo wiki 3 kama ulivyosema. Niliona chuo Cha Kilimo mwalimu Nyerere, SUA, Must, na vyuo karibia vyote na mara nyingi wanazitangaza vyuo husika..
Ila kama ulifanya psrs Endelea kusubiri Huwa inachukiwa mda
Ss unajua utaratibu wa Burundi mpk ulie na Ur Country 😅😅😅Serikali juzi imenunua ma V8 mapyaa Kwa mabunyenye, lakini Ss huku , tuna subiria replacement huu mwezi wa 7 ss, majibu ya ora yanakaa zaidi ya mwezi .
Daa my country. Inaenda shimoni 😭